Nini hatima ya report ya lema kuhusu mauaji ya arusha baada ya muafaka huu?

Mpigania haki

Member
Apr 10, 2011
53
16
Muafaka ndo hivyo umepatikana ni hatua moja mbele..bt je unadhan ni nini hatma ya ripot alotoa lema kwa spika wa bunge na ikizingatiwa mpaka leo maamuz hayajatolewa km ni pinda au lema ndo atakayefuta kauli,je unadhan nini kitafuata hapo?
 
Ni vizuri Chadema kullamikia hilo kupitia kwenye kamati ya sheria na kanuni za Bunge lenu la Muungano.
 
Mimi nataka kujua ni nini hatima ya Polisi waliouwa wananchi wasio na hatia? Kama muafaka huu unaendana na ule wa C.U.F kupewa umakamu na kusahau historia ya waliouwawa 2000 na Polisi wa Mkapa itakuwa aibu ya mwaka. Ili muafaka uwe muafaka ni lazima madhambi yote yawe mezani na wote waliokiuka taratibu, sheria na kuuwa watu kuchukuliwa hatua za kisheria na fidia kulipwa wote walioonewa na nguvu ya jeshi la polisi. Ikiwa ni pamoja na kufutwa kwa kesi zote mahakamani na serikali kukiri ilitumia nguzu nyingi bila sababu kwa watu wake.

Bila hayo kutokea itakuwa ni siasa zile zile za kichovu Tanzania.
 
Back
Top Bottom