Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

Baada ya mtihan kurudiwa limezuka gumzo lingine tena kutoka huko wizaran na Nacte waķielekeza kwamba wanafunz walopata supplementary ktk matokeo haya mapya hawatatakiwa kuendelea na masomo ya mwaka wa mwisho wasubiri mpaka mwezi wa8 jambo ambalo litafanya watu kupoteza mwaka mzima bila sababu za msingi na wakat utaratibu ni kwamba baada ya matokeo ya kwanza kutolewa kwa wale walioteleza hupewa nafasi ya kufanya mitihani ya marudio ili kuendelea na wengine ikishindikana ku-clear baada ya mtihan wa marudio ndo mambo ya kurudia mwaka yanakuwepo...lakin kwasasa imekuwa tofaut..
Hii inatia hofu sana miongon mwa wanafunz ukizingatia mitihan ilirudiwa bila wao kuwa na hatia kwan chanzo cha kuvuja sio wanafunz wenyewe...na bado baada ya hayo yote kama itakuwa hivyo watu watarudia mwaka katika record kubwa ambayo haijawah kutokea
Hii si haki yani wameamua kuwakomoa sana
 
Back
Top Bottom