MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kitila Mkumbo sio mtu wa maana!
Ni ptofesa pia!!Kitila Mkumbo sio mtu wa maana!
Ndio wale wale akina Propesa..!Ni ptofesa pia!!
Ndiyo narudi pale pale kwamba mamlaka za serikali zenye wajibu wa kukamata, kushitaki na kuhukumu zifanye kazi yake. Let's leave wanasiasa wetu wa Tanzania pembeni, time to take action.Aliemtaja na kumtangaza kuwa fisadi si ndio aliemuweka kugombea urais?
Halafu kuthibitisha undumilakuwili wake anasema alie na ushahidi aende mahakamani wakati miaka yote alisema na kusisitiza ushahidi anao ila udhaifu wa serikali ndio tatizo
Inaitwa KIBOHOLI, habari sañaBora ushuzi tunashauriwa kuunusa kwa afya,,,huu ni uozo wa viza,maharage,kabichi na mbaazi fikiria hiyo harufu itakayotoka hapo