Pro pesa anajua kuingia kwa mh lowasa upinzani kumeleta uhai mkubwa sana,kwanini yeye lipumba kabla ya hapo alikuwa na madiwani ,wabunge wangapi bara?je?wamepungua au wameongezeka baada ya yeye kujiuzuru?siku zote yeye ndiye amekuwa kinara wa kuvunja makubaliano ya umoja wa upinzani ,dk za mwishomwisho kabla ya uchaguzi.je kwanini pro pesa alipotoka kufundisha aliliacha jina la LUGUYU LIPUMBA?