Wewe ndo umejilimit akili yako kufikiri ndomana wenzetu wanatupiga magap na hatutowapata sababu ya sisi kujilimit akili zetuWatakuja na kila aina ya theory lakini mwisho wataishia kusema Mungu yupo, akili yetu ni limited, na tunachofundishwa na hawa wataalam ni kweli ila ni kwa kiwango kidogo sana.
Hebu fikiria, asilimia 96 ya universe haijulikani ni kitu gani, wameishia kuita black energy na black matter, imagne kwanini wanashindwa hata kuifikia nyota iliyo karibu sana na jua letu ambayo iko 4ly pekee?
Imagine kuwa, vitu vyote vionekanavgo yaani nyota, sayari, vimondo nk ni 4% tu! Hivyo visivyoonekana Mungu pekee anavojua. Sikio haliwezi kuzidi kichwa
Link Stephen Hawking, science's brightest star, dies aged 76mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Kwaio unasema kuwa galaxies zilikuwepo kabla ya big bang? Billions od galaxies were already there just waiting for the big bang to happen?Unaleta utoto kuanza kuleta mifano ya matofali but ngoja nikujibu tu
Unadhani tukichukua tofali billion 1 tukaanza kuzirusha kutoka hewani hakuna probability ya kwa bahati tofali kadhaa zikawa zimejipanga
Galaxies zipo billions nyota zipo trillions na sio zote zina sustain maisha hadi sasa kwa uhakika ni moja tu huoni even spontaneous action can bring that kind of result
Halafu mkuu, what is the definition of perfect mpaka ukatae kuwa dunia ipo perfect?Vigumu sana Ku argue nawewe aisee umesema dunia IPO perfect nimekwambia not perfect at all and that is a known fact
the law of nature always existed
Effect IPO kubwa sana mkuu nenda Europe and American science ilipolala uone mkuu stats inaonyesha idadi ya atheists inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana
Tena ukienda vyuo vyenye umahiri haswaa kama Harvard, MIT,California ,Cambridge, Oxford na wengine wanafunzi atheists wameongezeka kwa kiwango kikubwa sana
Kuhusu origin ya laws of nature pia atheists atakuuliza to a proof ya origin ya unachokiamini.
But tuachane na hayo kama umesoma big bang vizuri na umeelewa usingeuliza before it ? Course simply there was nothing before the big bang not even time itself
.time started after the big bang
Hivyo vyuo unavyovizungimzia vimekuwa hivyo tangu kale. Halafu kile kilichosemwa na Hawkings wala sio law, ni theory. Nikufahamishe tu mpaka sasa science haina conclusive evidence ya mambo ya universe, pia kuna mambo mapya yanagundulikabkila siku na kuleta mtazamo mpya. Wajuvi wa mambo wamediriki kusema, science imekuwa kama dini tu, too much theories. So usidanganyike na theory ya huyo ambaye anatia mawazo yake tu kuwa laws of physics zilikuwepo tu bila kutaja chanzo chake, it's the same as religious belief.Effect IPO kubwa sana mkuu nenda Europe and American science ilipolala uone mkuu stats inaonyesha idadi ya atheists inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana
Tena ukienda vyuo vyenye umahiri haswaa kama Harvard, MIT,California ,Cambridge, Oxford na wengine wanafunzi atheists wameongezeka kwa kiwango kikubwa sana
Kuhusu origin ya laws of nature pia atheists atakuuliza to a proof ya origin ya unachokiamini.
But tuachane na hayo kama umesoma big bang vizuri na umeelewa usingeuliza before it ? Course simply there was nothing before the big bang not even time itself
.time started after the big bang
Hawa ni wale waliokua wanasinzia kwenye kipindi cha biolojiasijakuelewa mkuu unachongea kabisa science haijawahi sema sokwe alibadilika akawa mtu but najua kuna theory inayo suggest we had the same ancestors so pengine ni uelewa wako tu au wa aliekufundisha mkuu
Am an atheist but i see points on your comment. That thing might be there but it does not need to be worshiped. And dont personnallize it kwa kusema YUPO.Dunia ina umri mkubwa sana,.ukifanya dating inakaribia 4.5bil yrs,..kila kilichomo dunian hakiko random,..bnadam ni moja ya viumbe vipya kabsa dunian..yaan ukifananisha na unr wa dunia.hata mfumo wa kiumbe hai na ambacho si kiumbe hai,vyote vnafata system ile ile,.na mfumo ni ule ule,..
Mfano,matter,..ina smal particles ambazo ni atoms,ndan ya atom kuna nucleus na hyo ndio centre,na particles zingne zote znaizunguka hyo,
Hii ni vile vile kwa mwil wa kiumbe,kuna cell,kuna centre ya cell ambayo ni DNA or RNA,.wateva,..vivyo hvyo kwa universe lazma kuna nyota ambayo ndo centre halaf inazungukwa na sayar na partcles zingne,.soo ni mfumo ule ule ambao uko systematic,..maana yangu ni kwamba hakuna kitu ambacho kiko random hapa ulimwengun,..hata mawazo yetu na mipango haiko random
So mtazamo wangu bnafsi ni kwamba chochote chenye mfumo rasmi/system lazma kina control,n who controls it hlo ndo lazma bnadam ajiulize,so anapokosa jib ndio anasema sasa kua ther is a might power ambayo imefanya yote haya..na hyo power ndo tukaiita Mungu,wengne wana majina yao,buddha etc.
Na dunia si sayar pekee yenye viumbe hai..kuna nyota kama jua zilizozungukwa na sayar zaid ya trilion1,unataka nambia only dunia tuu ndo ina viumbe?so This might creator aliefanya haya yote yupo,ila ndo hvo kila mtu ana mtasfir anavyojua yeye,..
Magic sky daddyMungu ni kiumbe gani naomba mnijuze.
Kutojua majibu ya maswali yako haimanishi kuwa mungu ndio kafanya, huo ni uvivu wa kupindukia bora hawking alietumia muda na kuja na nadharia zake kuliko wewe unaekimbilia jibu jepesi.Unajua kwanini ndio mfano unaopenda kutumiwa na wahubiri? Kaa kitako na utafakari, engeneering ya Ulimwengu ulivo mpaka duniani kukawa na LIFE, jitizame na wewe, unakula kupitia mdomo, chakula kikifika tumboni kinashughulikiwa, mwili wako una system kamili ya kuchuja sumu, na kubakisha kinachohitajika na mwili, halafu uje unambie hii ni bahati? Tunaambiwa binaadamu tulikuwa kima mwanzo, tume evolve mpaka kuwa hivi tulivo, hivi hatuna kima mpaka leo wameshindwa kuevolve wakati wanaishi na binaadam?
Kina Hawkin wanasema ulimwengu haukuhitaji creator, nataka waniambie hizo elements ziluzosababisha big bang zilitokea wapi? Ni kitu gani kiliziproduce?
Tumeona mripuko wa nuclear bomb matokeo yake, je kuna nyumba ilijijenga kupitia huo mripuko? Tuache nyumba, japo tofali kozi mbili tu zilijapanga?
Tunauliza hivi kwa sababu the universe is so perfect and so do earth to sustain life, just a big bang is not enough to explain such perfect engineering and the arrangements of celestial bodies.
Kwanini hakuna life on the moon wakati on earth ipo? Au mfano Sayari ya Mars isogee karibu na dunia nini kitatokea? No, tufikirie bila kuwepo mwezi hapa duniani vipi?
Ukiutizama ulimwengu kwa umakini, basi utajiuliza masuali how come ivu vitu came to being? The system is so perfect. Wanasayansi wanaipuka suala la Mungu, na kusema ni law of nature, WHO MADE THAT LAW?
Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake. Mungu kaona dogo atamdhalilisha[emoji1]Mungu kamchukua Steven hawking kabla hajafika mbali..haha RIP..
Mbn hata africa atheism inakua sn chief hasa KenyaEffect IPO kubwa sana mkuu nenda Europe and American science ilipolala uone mkuu stats inaonyesha idadi ya atheists inaongezeka kwa kasi ya ajabu sana
Tena ukienda vyuo vyenye umahiri haswaa kama Harvard, MIT,California ,Cambridge, Oxford na wengine wanafunzi atheists wameongezeka kwa kiwango kikubwa sana
Kuhusu origin ya laws of nature pia atheists atakuuliza to a proof ya origin ya unachokiamini.
But tuachane na hayo kama umesoma big bang vizuri na umeelewa usingeuliza before it ? Course simply there was nothing before the big bang not even time itself
.time started after the big bang
Sikuwahi kupanda ndege hadi siku nilipokwenda Canada, nilipata siti ya dirishani hivyo njia nzima nilikuwa napepesa macho huku na kule ili kumuona Mungu maana ndege yetu ilikuwa juu ya mawingu yote. Nilikuwa naukumbuka wimbo Wa palapanda Italia........ Kumlaki bwana Yesu mawinguni. Lakini sikuona dalili yoyote ya uwepo Wa Jitu kubwa sana kupita vitu vyote, Mungu. Kuna kazimnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Wanasayansi watashindana na Mungu ila hawatashinda. Believe me & God
At least wewe umeleta argument ya kuelewekaWanasayansi washughulike na mambo haya mawili kama wanataka kuishinda dini:
(1). Wanahitaji maelezo mbadala kuhusu chanzo cha muda, space na matter yenyewe. Ati, Matter, Time and space vilitoka wapi? Kabla ya muda kuanza kulikuwa na nini? Hicho kilicholipuka siku ya Big Bang kilitoka wapi? Maelezo haya eti hapo mwanzo kila kitu kinachounda universe hii ya leo kilikuwa contained kwenye one trillionth of a pinhead and then kaboom ikalipuka na kuumba kila kitu aisee haina mashiko kabisa...
View attachment 717269
(2). Wakishinde kifo!. Watu wakiacha kufa na wakaanza kuishi milele basi wengi wataikimbia dini kwa sababu dini nyingi zipo ili kuelezea nini kitatokea baada ya kifo. Ukiondoa kifo maana yake hakuna mambo ya kufufuliwa kwenda kuishi milele kwenye magalaxy mengine huko.
Mungu Atubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nothing existed before the big bang kuwa muelewa basi galaxies themselves ni matokeo ya big bangKwaio unasema kuwa galaxies zilikuwepo kabla ya big bang? Billions od galaxies were already there just waiting for the big bang to happen?
Mimi ninaeamini Mungu ndie alietengeza universe, naamini ameitengeza mthematically. Kuanza elements zilizosababisha huo mripuko mpaka kukawa na galaxies. All these mathematically is possible. Ukiweza kucrack hio hesabu unaweza hata ukaja na your own man made universe. Lakini the point remains the same, YOU WILL BE THE CREATOR!
Unaposema kuwa tupange tofali bilioni moja kisha tufanye mripuko, kuna uwezekano wa kupata tofali zilizojipanga, bado hatujasolve hii ishu, kwa sababa itakuwa UMEzipanga kabla na HAZIJAJIPANGA WENYEWE.
Tunarudi pale pale.
Scientist wanatupa njia za kuelewa how things came to be.
Huo huo mfano wako wa matofali bilioni unatosha kukupa picha kuwa zinatakiwa zipangwe na sio zijipange.
Najaribu kukupa mifano ilokuwepo very simple ili kila mtu aifahamu kwa uwepesi. Huwezi kumuondo the creator of the universe kwenye hili.
Ni yeye ndie aliweka elements zilizofanya big bang. Hazikutokea from nowhere tu.
In the near future it may be possible to create new galaxies yes hadi sasa with the available theories it is almost possible challenge ni energy tu but in the future we never know never underestimate humansKwaio unasema kuwa galaxies zilikuwepo kabla ya big bang? Billions od galaxies were already there just waiting for the big bang to happen?
Mimi ninaeamini Mungu ndie alietengeza universe, naamini ameitengeza mthematically. Kuanza elements zilizosababisha huo mripuko mpaka kukawa na galaxies. All these mathematically is possible. Ukiweza kucrack hio hesabu unaweza hata ukaja na your own man made universe. Lakini the point remains the same, YOU WILL BE THE CREATOR!
Unaposema kuwa tupange tofali bilioni moja kisha tufanye mripuko, kuna uwezekano wa kupata tofali zilizojipanga, bado hatujasolve hii ishu, kwa sababa itakuwa UMEzipanga kabla na HAZIJAJIPANGA WENYEWE.
Tunarudi pale pale.
Scientist wanatupa njia za kuelewa how things came to be.
Huo huo mfano wako wa matofali bilioni unatosha kukupa picha kuwa zinatakiwa zipangwe na sio zijipange.
Najaribu kukupa mifano ilokuwepo very simple ili kila mtu aifahamu kwa uwepesi. Huwezi kumuondo the creator of the universe kwenye hili.
Ni yeye ndie aliweka elements zilizofanya big bang. Hazikutokea from nowhere tu.
Kutumia muda wako mwingi kuja na ASSUMPTIONS zako haimaanishi kuwa upo sawaKutojua majibu ya maswali yako haimanishi kuwa mungu ndio kafanya, huo ni uvivu wa kupindukia bora hawking alietumia muda na kuja na nadharia zake kuliko wewe unaekimbilia jibu jepesi.