Ya Corona na Charles Darwin, The theory of natural selection

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
3,880
2,000
Wadau amani iwe kwenu.

Hapo zamani za kale kuna mwanasayansi nguli alikuja na uchunguzi wa ajabu kuhusu maisha ya mwanadamu na viumbe hai kwa ujumla.

Charles Darwin kwenye uchunguzi wake alisema viumbe hai huwa vina evolve from natural selection, kwamba kuna kipindi the unfit huwa wanaondolewa (face extinction) kwenye uso wa dunia na the fit husarvive to the next generation ili kuunda kizazi kilicho imara zaidi.

Nature ndiyo huandaa hayo mazingira ili viumbe dhaifu vife vyote na kuachwa viumbe ambavyo viko imara zaidi!.
Ni Charles Darwin kupitia theory yake hii ndiyo alisema zamani kulikuwa na twiga wenye shingo fupi ila kutokana na mazingira iliwabidi warefushe shingo zao na walioshindwa walikufa wote kwa kukosa mahitaji muhimu.

Ukiangalia leo huu ugonjwa corona unavyoshambulia watu unaweza kusadiki theory ya Charles Darwin, virusi vya
Corona vinashambulia sana wazee, wagonjwa na wenye upungufu wa kinga mwilini (the unfit) pia inasemeka white people inachukua siku 14 tu hadi kuonyesha dalili zote za corona wakati black people inachukua hadi siku 30 kuonyesha dalili!

Virusi vya corona mpaka sasa vimethibitika havishambulii sana watoto na watu wenye strong body immunity (the fit).
kwa hiyo inaonyesha wazi kama huu ugonjwa utaachwa tu basi utawaondoa wote the unfit kwenye jamii( natural selection)!

Je, baada ya theory of natural selection kupingwa sana kwa miaka mingi sasa imekuja kujithihirishia mbele ya macho yetu kwenye kizazi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
5,392
2,000
Hivi bado hujagundua huu ugonjwa ukiwagusa tu viongozi wako wa chama, utawamaliza wote!! Maana wana sifa zote ulizozitaja kwenye hii mada yako.

Jambo la msingi tuendelee kuikumbusha serikali pale inapofaa, kuchukua hatua zinazostahili ili huu ugonjwa umalizike na maisha yarudi kwenye hali yake ya kawaida! kabla hamjapata kisingizio cha kufanya ufisadi wa kutisha kwa mgongo wa Corona.
 
Jikite kwenye hoja achana na mambo ya uchama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,187
2,000
Wadau amani iwe kwenu.

Hapo zamani za kale kuna mwanasayansi nguli alikuja na uchunguzi wa ajabu kuhusu maisha ya mwanadamu na viumbe hai kwa ujumla.

Charles Darwin kwenye uchunguzi wake alisema viumbe hai huwa vina evolve from natural selection, kwamba kuna kipindi the unfit huwa wanaondolewa (face extinction) kwenye uso wa dunia na the fit husarvive to the next generation ili kuunda kizazi kilicho imara zaidi.

Nature ndiyo huandaa hayo mazingira ili viumbe dhaifu vife vyote na kuachwa viumbe ambavyo viko imara zaidi!.
Ni Charles Darwin kupitia theory yake hii ndiyo alisema zamani kulikuwa na twiga wenye shingo fupi ila kutokana na mazingira iliwabidi warefushe shingo zao na walioshindwa walikufa wote kwa kukosa mahitaji muhimu.

Ukiangalia leo huu ugonjwa corona unavyoshambulia watu unaweza kusadiki theory ya Charles Darwin, virusi vya
Corona vinashambulia sana wazee, wagonjwa na wenye upungufu wa kinga mwilini (the unfit) pia inasemeka white people inachukua siku 14 tu hadi kuonyesha dalili zote za corona wakati black people inachukua hadi siku 30 kuonyesha dalili!

Virusi vya corona mpaka sasa vimethibitika havishambulii sana watoto na watu wenye strong body immunity (the fit).
kwa hiyo inaonyesha wazi kama huu ugonjwa utaachwa tu basi utawaondoa wote the unfit kwenye jamii( natural selection)!

Je, baada ya theory of natural selection kupingwa sana kwa miaka mingi sasa imekuja kujithihirishia mbele ya macho yetu kwenye kizazi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya natural selection? Wewe rudi kule kwenye kumsifia Makonda, huku huwezi! Kule unatumia Kijani theory
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
2,148

ngoja ikukute ww alafu utakuja utupe mrejesho je ulikuwa fit or unfit lakin other side kwa kwel na ona wote walio farik mfano bongo ni walikuwa na wa diseases nyingine lakin pia wngi n above 35 years old lakin huyu virus kama yupo in nature sio man made watuambie mazingira yake halisi kabla ajaataki beings of adam kama ni man made bac iyo theory yako 15%
 
Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,368
2,000
haya ndio yale ya Hitler miaka ya 1930s na 1940s , yeye alikuwa akiwauwa watu wa äina hiyo kabisa alikuwa hasubiri ugonjwa , je JPM naye afuate nyayo za Hitler na kuacha corona " isafishe" hawa "misfits" katika jamii?
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,091
2,000
Hapa naona hoja ya JPM inatetewa kuwa tupige kazi,wacha ugonjwa usambae watakaokufa ni wasio fit!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom