Nini Hasara na Faida ya kutundika Picha Mtandaoni?

Nini Hasara na Faida ya kutundika Picha Mtandaoni?

usichopenda wewe wengine wanapenda, kwanza picha mtandaoni haiwezi kupotea, na nikuulize kati ya wewe na rais bora nani? Mbona marais na matajili wote picha zao mitandaoni zipo? Sembuse wewe takataka tu ambaye hata mtaani kwako hujurikani?
Ptuuuuuuuuu!!
ukisikia yalaaaaa ujue mhiiiiiii imetua mahala hahahahaahahahaahhha
 
Hey wana JF!
Kuna tabia naona inakuwa kabisa ya watu kuweka picha zao kwenye mtandao. Baadhi ya picha zinaonyesha watu wakiwa smart katika mapozi mbalimbali, tata na ya kawaida. Hii naiona kwa akina dada na akina kaka.

Nini lengo la kuweka picha hizi mitandaoni?
Nini hasara na faida ya kutundika hizi picha hasa kwenye uso wa kitabu?
Naomba tuelimishana kwani mimi binafsi sipendelei kabisa.

Usichopenda wewe wengine wanapenda, kwanza picha mtandaoni haiwezi kupotea, na nikuulize kati ya wewe na Rais bora nani? mbona Marais na matajili wote picha zao mitandaoni zipo? sembuse wewe takataka tu ambaye hata mtaani kwako hujurikani?
Ptuuuuuuuuu!!

Kwenye red nimekuelewa. Ni kame e-Photo Album.
Kwenye blue naona tofauti kubwa ya uwezo wa kufikiri kati yako na mimi. Sihitaji kubishana na wewe kwani hujui unachoandika na hunijui na mimi pia.
"Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti "
-JF MEMBER Signature by
Novel Idea
 
Acha kujiogopesha, kwa vitu ambayo uwezekano wake wa kutokea ni 000000.001%
kuna billions of users ambao wanatumia mitandao, inakuwaje picha zao zisichukuliwe wachukue za kwako?

Watachukua picha yake si umeona alivyofanana kwenye Avatar yakee.
 
Hey wana JF!
Kuna tabia naona inakuwa kabisa ya watu kuweka picha zao kwenye mtandao. Baadhi ya picha zinaonyesha watu wakiwa smart katika mapozi mbalimbali, tata na ya kawaida. Hii naiona kwa akina dada na akina kaka.

Nini lengo la kuweka picha hizi mitandaoni?
Nini hasara na faida ya kutundika hizi picha hasa kwenye uso wa kitabu?
Naomba tuelimishana kwani mimi binafsi sipendelei kabisa.

Wanaotundika picha watakuja kujibu, na wasiotundika pia watakuja, endelea kusubiri!!
 
Back
Top Bottom