Tanzania ilisha wahi kua great?Make Tanzania Great Again, japo sijui waliotoa kauli hii walianzia wapi na walilenga nini
HahahahahahWhen Tanzania became great? Compared for which country au ni kucopy ya maneno ya wakina Trump
Wanajamvi habari ya asubuhi? Ni matumaini yangu mmeamka vyema, naomba kufahamishwa maana ya neno MATAGA, ahsanteni sana
Mkuu tusaidiane kujua maana yake na kwanini wanaitwa hivyo?Mkuu Mataga ni watu. Maskani yao iko mtaa fulani maarufu dar. Hulipwa buku kadhaa kwa kazi yao pendwa.
Naomba nisiwasemee sana.
Watakuja wenyewe bila shaka kwa utambulisho kamili. Amini usiamini watakuwa bandiko lako washaliona.
Magonjwa matambuka, jingaletu, Soviet Union, the lager and the team mkuje. Mnaitwa huku!
Trump alianzisha Make America Great Again - MAGAMake Tanzania Great Again, japo sijui waliotoa kauli hii walianzia wapi na walilenga nini
Hahahahahah, kumbe aiseeeee nimekupata mkuuTrump alianzisha Make America Great Again - MAGA
Wao lummumba buku 7 walivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA
Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great
Sasa nafikiri unaanzakuona maana halisi ya MatagaTanzania ilisha wahi kua great?
Compared toWhen Tanzania became great? Compared for which country au ni kucopy ya maneno ya wakina Trump
When Tanzania became great? Compared for which country au ni kucopy ya maneno ya wakina Trump