LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,513
Utoto nnaozungumzia hapa ni wa kwako si wa binti..huelewiMsichana mtoto hawezi shika mimba
Utoto nnaozungumzia hapa ni wa kwako si wa binti..huelewiMsichana mtoto hawezi shika mimba
Mmmhkila mtu na maamuzi yake kwa kuona lipi litamfaa, m sikutoa kila uchao navumilia matusi yenu kwa singo madhaz
DuuuuuuhKiufupi mtu aliyebeba mimba na upendo na mwenzake(mwanaume) ukawa sawa na wakaweka sawa utaratibu wa kuishi pamoja hawezi kutoa mimba. Labda kesi chache za wanaojiuza, wanaochepuka wakiwa ndoani. The rest ni kukataliwa.
Ahsante mkuuKiukwel, watu wanakutana kimwil na main target ni kufurahishana tu.
Halengwi mtoto kabisa, so ikitokea mimba kwao ni accident.
Ndo sababu kubwa ya abortion, watu watazunguka ila ukwel ndo huo mengine yote ni asilimia ndogo sana.
Ahsante mkuuWasichana chini ya umri wa miaka 18 ndo wanaongoza kutoa mimba.
-kuogopa aibu kwa jamii na familia
-kuogopa kufukuzwa shule.
-ni vigumu kutumia kondom kwa umbile la sehemu yake ya siri na usumbufu wakati wa tendo, hivyo kwa bahati mbaya unaweza kuchelewa kuuchomoa wakati wa kupiz.
-Ugeni wa mapenzi na kukosa elimu ya uzazi kunasababisha kupata mimba.
**kwa vile mimba haikuingia kwa mipango ili kuepuka miaka 30 jela inabidi itolewe.
Eeeeeeeh [emoji15] [emoji15] [emoji15]Utoto nnaozungumzia hapa ni wa kwako si wa binti..huelewi
Idadi ya wanawake wakatili wanaoua viumbe vilivyoridhiwa na mungu (kutoa mimba) inazidi kukua swali ni je sababu inayofanya watoe mimba ni kutokana na UGUMU wa MAISHA au WANAUME waliowapatia mimba hizo ?
![]()
DaaaaaaahWengi wanakataa mimba hivyo inabidi binti atoe maana anakuwa hana namna
DiiiiiiiiiiiiiihKubakwa na wahuni, hatari ya ujauzito kuhusu uhai wa mama mtarajiwa. Kuzaliwa mtoto ambaye anaweza kuwa ni taahira au kilema wa viungo vyake muhimu.
Hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MmmmmmmhHata mwanaume ambaye ndio chanzao ya mwanamke huyo kitoa mimba atajibu tu
Wengine sio tu kukataa...mimba ikiingia anapptea kabisa wanadai mtoto akijua atamtafuta
Si kweli banakweli kabisa hakuna anaependa kutoa mimba Ila wanaume ndo wanasababisha
Mwanamke ndiye anajua yuko kwenye siku za hatari iweje akubali kufanya bila kinga? Na siku hz wanawake walio wengi hawataki kutumia kinga (condom) so anavyofanya anatarajia chochote kinaweza kutokea kwann hajiandai kisaikolojia matokeo yake anatoa mimba wakati amejitakia unless kama alibakwakweli kabisa hakuna anaependa kutoa mimba Ila wanaume ndo wanasababisha
Una Dada zako?????Mi nasemaga kila siku jukumu la kuhakikisha kuwa mimba inatunga au la na kwa wakati gani ni la mwanamke. Sasa kama unapata mimba kwa bahati mbaya huo ni uzembe. Na mtatoa mpaka mukome!
Uwezi kupata takwimu kwa sababu ni kosa na hiyo biashara ya kutoa mimba hufanywa kwa usiri mkubwa.Kwani takwimu ya watoa mimba ikoje mpaka sasa?
Moto unawasubirMi nasemaga kila siku jukumu la kuhakikisha kuwa mimba inatunga au la na kwa wakati gani ni la mwanamke. Sasa kama unapata mimba kwa bahati mbaya huo ni uzembe. Na mtatoa mpaka mukome!
Umeona eeeehMwanamke ndiye anajua yuko kwenye siku za hatari iweje akubali kufanya bila kinga? Na siku hz wanawake walio wengi hawataki kutumia kinga (condom) so anavyofanya anatarajia chochote kinaweza kutokea kwann hajiandai kisaikolojia matokeo yake anatoa mimba wakati amejitakia unless kama alibakwa