Nini hasa kinasababisha Mwanamke Kutoa mimba?

nnavyopenda kula bila kondomu..
mimba mnakataa...

mtu akijikakamua alee mnamuita'single mom'na kashfa kibao

hyo dhambi ya kuua atajibu na Mungu wake..japo sipendi sana hicho kitu!

Ila wanaume ndo chanzo
Hata mwanaume ambaye ndio chanzao ya mwanamke huyo kitoa mimba atajibu tu

Wengine sio tu kukataa...mimba ikiingia anapptea kabisa wanadai mtoto akijua atamtafuta
 
sababu nimoja2, kutanguliza maslah yakitu kimoja au zaid kuliko mimba/mtoto. Ila sasa swal nihili kwann unafanya ngono ktk mazngira yatayokupelekea upate mimba hali yakuwa haupo tayar kubeba mimba? au ndio tuseme mazingira yautoaji mimba yamekuwa rahisi kias hicho? Tujiulize vip ingekuwa ukibeba mimba ndio basi tena yaan swala lakutoa lisingekuwepo je wanawake wangekuwa wanazitega kias hiki?

Hakuna mwanamke anaebeba mimba ili atoe. Hata hao wanaotoa ni mazingira tu yanawasababisha hivyo. Mwanamke yeyote anaetoa mimba anaumia kuliko nyie mnaomjudge huku nje. Halafu suala la kubeba mimba ni la wote mwanamke na mwanaume ila inapofikia mtu kabeba mimba mnambebesha mzigo wote peke yake mnategemea nini? Mtu anaona bora atoe maana baba kakaa huku wanaume wengine kutwa kuwasimanga single mothers unadhan aiweke ili ateseke kulea mtoto peke yake na kuitwa single mom?
 
Wanaume mkianza kujitambua kutumikia mlichokisababisha na kuacha kuwanyanyapaa single mom tatizo la utoaji mimba litapungua kama sio kwisha kabisa. Wanaume mnachangia kwa kiasi kikubwa hasa kwa maneno yenu ya kuhukumu. Yani kama kuna mwanamke humu Jf akipata mimba baba haeleweki kama sio strong lazima akaitoe sababu huku mmeshatuweka single mothers kama hatustahili tena kwenye maisha ya mahusiano.
 
Kila mtu ana sababu yake na hamna anayejua ila kufikia kuua hapo ni too much.
Na nyie muache kuwananga single mom nadhani nayo huchangia wao kutoa mimba kwa kuogopa aibu
Yaan kuogopa aibu ndio ufanye unyama daaah mungu awape laana
 
Kila mtu ana uelewa wake na jinsi tofauti ya kukabiliana na tatizo hatulingani kifikra, na ndo maana wapo wanaotoa uhai wao sababu ya ugomvi tu lakini mwingine akiwa na ugomvi anaweza kunywa pombe akalala na akiamka kila kitu kiko poa.
Hatufanani kila mmoja na mtazamo wake
 
Vizuri sana mkuu [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Chanzo ni kupata mimba isiotarajiwa, umri mdogo,binti akiwa mwanafunzi,hali ngumu ya maisha,kupata mimba ya mume wa mtu,kupata mimba nje ya ndoa,complications za kiafya kunusuru maisha ya mama,stigma kijamii ukizaa bila ndoa,kwa walioolewa kukwepa kuunganisha watoto karibu karibu,nk nk
 
Innalilah wainailah rwajuun
 
Wife wangu amechoma sindano ya uzazi na mimba amepata wakati huo huo ana mtoto ambaye hata mwaka hana....hamna ushauri meingine niliompa zaidi ya kuitoa hiyo mimba....nurse aliyemchoma ndo ananiambia kwamba kuna uwezekano ile sindano ilikuwa fake
 
Hakuna mwanamke anaebeba mimba ili atoe. Hata hao wanaotoa ni mazingira tu yanawasababisha hivyo. Mwanamke yeyote anaetoa mimba anaumia kuliko nyie mnaomjudge huku nje. Halafu suala la kubeba mimba ni la wote mwanamke na mwanaume ila inapofikia mtu kabeba mimba mnambebesha mzigo wote peke yake mnategemea nini? Mtu anaona bora atoe maana baba kakaa huku wanaume wengine kutwa kuwasimanga single mothers unadhan aiweke ili ateseke kulea mtoto peke yake na kuitwa single mom?
Kwahiyo njia sahihi ni kutoa roho ya kiumbe kisicho na makosa ? Yeye wakati anaenda huko kufanya yake hakujua kama mimba itanasa acheni kutetea uuaji huu
 
Wanaume mkianza kujitambua kutumikia mlichokisababisha na kuacha kuwanyanyapaa single mom tatizo la utoaji mimba litapungua kama sio kwisha kabisa. Wanaume mnachangia kwa kiasi kikubwa hasa kwa maneno yenu ya kuhukumu. Yani kama kuna mwanamke humu Jf akipata mimba baba haeleweki kama sio strong lazima akaitoe sababu huku mmeshatuweka single mothers kama hatustahili tena kwenye maisha ya mahusiano.
Kwahiyo njia sahihi ni kuangamiza viumbe wasio na makosa
 
Wife wangu amechoma sindano ya uzazi na mimba amepata wakati huo huo ana mtoto ambaye hata mwaka hana....hamna ushauri meingine niliompa zaidi ya kuitoa hiyo mimba....nurse aliyemchoma ndo ananiambia kwamba kuna uwezekano ile sindano ilikuwa fake
Mungu anawaona na anashudia mnayofanya na kumbuka mwisho upo hivi hata huruma huna daaah chukua sindano ya moto jichome sikia maumivu yake na je maumivu ya kutoka roho yapoje ?
 
Kwahiyo njia sahihi ni kutoa roho ya kiumbe kisicho na makosa ? Yeye wakati anaenda huko kufanya yake hakujua kama mimba itanasa acheni kutetea uuaji huu
We ni mwanaume utaelewaje mimba anayobeba mwanamke... Na utoto nao unakusumbua
 
Kiufupi mtu aliyebeba mimba na upendo na mwenzake(mwanaume) ukawa sawa na wakaweka sawa utaratibu wa kuishi pamoja hawezi kutoa mimba. Labda kesi chache za wanaojiuza, wanaochepuka wakiwa ndoani. The rest ni kukataliwa.
 
Kiukwel, watu wanakutana kimwil na main target ni kufurahishana tu.
Halengwi mtoto kabisa, so ikitokea mimba kwao ni accident.
Ndo sababu kubwa ya abortion, watu watazunguka ila ukwel ndo huo mengine yote ni asilimia ndogo sana.
 
Wasichana chini ya umri wa miaka 18 ndo wanaongoza kutoa mimba.
-kuogopa aibu kwa jamii na familia
-kuogopa kufukuzwa shule.
-ni vigumu kutumia kondom kwa umbile la sehemu yake ya siri na usumbufu wakati wa tendo, hivyo kwa bahati mbaya unaweza kuchelewa kuuchomoa wakati wa kupiz.
-Ugeni wa mapenzi na kukosa elimu ya uzazi kunasababisha kupata mimba.
**kwa vile mimba haikuingia kwa mipango ili kuepuka miaka 30 jela inabidi itolewe.
 
Back
Top Bottom