Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,100
- 1,271
- Thread starter
- #21
Ikumbukwe hawa watu tuliletewa kama Maua. Hakuna ubaya tukivutiwa Na kusifu kazi njema ya Mungu. Hakuna ubaya kusema hapa Mungu alifanya kazi njema. Tuendelee kuwasifia ikibidi jamani
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
balaa lake sasa wanasema ukiangalia yakwanza yapili dhambi