Nini faida za water dispenser?

Wakuu naombeni kujua faida/umuhi, wa water dispenser

Nimekuwa nikiziona Tu.

Mtu frij analo na jug la umeme analo Ila bado anataka na water dispenser.

Nin umuhim wa water dispenser?
Unaweza amua kuweka friji sebuleni na water despenser ukaweka chumbani.

Kuweka water dispenser chumbani inaweza kukusaidia kama mbadala wa friji kwa kufata maji sebuleni kwa nyakati za usiku.
20240310_061252.jpg
 
Utapata maji ya baridi au ya moto kwa uharaka zaidi.Kinyumbani nyumbani haina faida sana ila kama uwezo unaruhusu unaweza kuwa nayo. Ila maofisini ni muhimu ili kuepusha watu kila mara kuchemsha maji kwa kutumia majug wakihitaji maji ya chai au kahawa.
 
Back
Top Bottom