Nini Faida ya u fake katika maisha?

Nini Faida ya u fake katika maisha?

Watu wanaigiza tu lakini ukweli wanaujua,shida maadili yamepolomoka.huyu dada amekua na fikla zipi za kumpigia mke wa huyo jamaa kama kweli hamhitaji huyo bwana?coz alipojua shida ya huyo mtumishi kua anadanganya na ako na mke alipaswa kukaa kimya tu na kubrock mawasiliano nae,kweni angemlazimisha vipi?sa angalia,simu yake kwa mke wa huyo mtumishi imesababisha ndoa kuingia mgogoro,unadhani hyo dhambi haitajiludi kwake?lazima siku1 itakula kwake kama malipo hata kama huyo bwana nae alikua ni mdhambi,huyu mtoa mada pia ndo kainogesha dhambi mpaka kupelekea mke wa huyo bwana aliekua hana hili wala lile juu yao kuikimbia nyumba,hyo lazima imlipe hapa hapa duniani.mtoa mada ulipaswa kukaa kimya na kushika hamsini zako usonge mbele na wanaume wale unaokutana nao face to face mahali pa heshima,hao ndo wangekufaa,hapa umefanya makosa
ye anapinga haya anasema kuwa alikuwa anasolve kwa kumpigia mke wa mtumishi,..
hii kwa akili ya kawaida ni ngumu kuwaza kusolve tatizo bila kufikiri negativity na +vity ya solution unayowaza kufanya
 
nimesoma uzi mrefu hatare...nimegundua mkuu hakuwa na busara kabla...wakati mnatongozana na kuwa wachumba hadi kugegedana ulishaomba ushauri juu ya mtu aliyeoneshwa na Mungu kuwa mfanye huduma?..Dada umevunja ndoa ya watu..ulivyofanya siyo fair japo unajisifu kwa kuokoa mahusiano ila that was bad very bad.Huyo mwanamke anaumia sana sana ..tena hadi mmewe ushapita nae halafu acha kujinadi kuwa umeokoa..yan umeharibu sana.Fake life zipo nyingi tu nawasiwasi na ww pia na fake life?..hivi alikukuta bikra? humu jf walishakupitia wangapi? najua umeamua kumuaibisha kaka angu kwa kuwa unamali zake ambazo ziko kwa jina lako...rudisha haraka vuna vya kwako .Kifupi sijapenda japokuwa umejitahidi kuelezea sana ila inclusion of his wife ndo mbaya sana sana...yan wewe ! ww umeonesha upumbavu wako wazi kabisa kuna ukristo gani unaruhusu kugegedwa bila ndoa..maisha mengine ufake fake tu! we mwenyewe fake tu! Tubu sana maana umeosha rungu ya mme wa mtu..mtaje km kweli unahuruma..mambo mengine bhana aibu tu.Jifunze asee...naiman huyu siyo mme wa mtu wa kwanza wapo wengine unao waache sasa! ila nimekuhurumia tena maana "umependa" kupenda ni kitu cha ajabu sana huyo mwanaume huwez muacha na akija bongo atakutafuta sana tu na papuchi utampa tu no way!...poleeee
 
Sina chochote ninanchomilki cha huyo mtumishi. Niliamua kwa dhati kuvibadilisha na kummilikisha mkewe na wanawe. Kuhusu mimi kuwa fake ukweli ni kwamba hakunikuta nimeokoka bali baada ya kukutana nae nilivutiwa na vile alikuwa alionyesha maisha ya wokovu. Mimi mkristo lakini si msafi hata kidogo.
Mabazazi na ufake muwache kwani sio wanawake wote tunapenda kuwaona wenzetu wakinyanyaswa kwa kuyaiba mapenzi yao.
Mjifunze kuwaheshimu wake zenu.
Angefanya ivo mdada hapa mngemnanga sana nyie mliojihalalishia uchepukaji.
 
Samahani kwa kurudi tena japo niliamua kuaga,mi binafsi nimeshakujua wewe ni mwanamke wa namna gani,kwa kweli unahitaji maombi,hujajielewa bado,maana hata hujajua mume unaweza kumpata vipi,unajaribu kujijitetea na kudhani una hekima.mtu hafundishwi kwa staili uloiamua wewe,kumpotezea kwako baada ya kumgundua huyo unaemuita bazazi kungemfanya ajifunze tu na angekufatilia mpaka angechoka,mapenzi si hayalazimishwi bwana?!sasa we ukatafuta namba ya mkewe na ulishaamini ni mkewe halali,ungekaa kimya,kumpigia simu unataka kusema hukujua nini kitatokea?ulijua na ulifanya kusudi,usije dhani tunaposema haya ndo upate jibu kua na sisi tupo kama huyo mtumishi si kweli,kama unajitambua utakua unaelewa tunamaanisha nini na unachofanya ni kutaka kujaza wachangiaji wengi wa huu uzi wako.omba toba ya sirini na uache dhambi,acha kiburi.mtu ulianza kumfatilia kanisani kwao ukajua ukweli wake,hapo hapo ungechukua maamuzi ya kumuweka wazi na kustop mala mo mahusiano,we ukakimbilia tena kutafuta namba ya mkewe,wewe una shida sema shetani kakufunga huelewi kama umekosea,badala ya kujiponya wewe na kuponya ndoa ya mwanamke mwenzako we umejizolea dhambi ya kuivunja hyo ndoa
 
hapa hatuangalii swala la mdada ama mkaka...najaribu kukufungua macho ya rohoni uone ulivyovunja ndoa ya mwenzio...ulivyofanya kubali kataa ukweli uko palepale kuwa umeharibu ndoa ya mwenzako....utam umeula sana tu sana yan usije rudi hapa na uzi wakutaka kubadili mara oooh yule mkewe walikuw washaachana kitambo mara nn maana hapa jf sikuhizi kitu kidogo tu mtu analeta story ndefuuu...sana...ila umeharibu ndoa ya mwenzako omba toba ya kweli either kwa kufikiri uko vizuri zaidi ya jamaa ama kwa kudhani uko sahihi kwa maamuzi yasiyostahili.Pole kwa kupenda maana huo nikama upofu uliojaza roho ya chuki ndani yako yakumuharibie mme wa mtu nawakati huo umekaa nje ya ulingo unacheki game inaendeleaje wataishiaje huuu mchezo ulivyo utazaa tu na huyo mwanaume maana umependa hasa hadi kufungua uzi.....mmmmh haya kila la kheri zikiisha dk 90 ongeza 30 kisha malizia kwa penatiiiiiiii
 
Teh teh!
Acheni ubazazi na ufake.
Whether nimevunja ndoa ambayo yeye mwenyewe haitaki au la. .kikubwa acheni ufake nyie wanaume lol
 
hapa hatuangalii swala la mdada ama mkaka...najaribu kukufungua macho ya rohoni uone ulivyovunja ndoa ya mwenzio...ulivyofanya kubali kataa ukweli uko palepale kuwa umeharibu ndoa ya mwenzako....utam umeula sana tu sana yan usije rudi hapa na uzi wakutaka kubadili mara oooh yule mkewe walikuw washaachana kitambo mara nn maana hapa jf sikuhizi kitu kidogo tu mtu analeta story ndefuuu...sana...ila umeharibu ndoa ya mwenzako omba toba ya kweli either kwa kufikiri uko vizuri zaidi ya jamaa ama kwa kudhani uko sahihi kwa maamuzi yasiyostahili.Pole kwa kupenda maana huo nikama upofu uliojaza roho ya chuki ndani yako yakumuharibie mme wa mtu nawakati huo umekaa nje ya ulingo unacheki game inaendeleaje wataishiaje huuu mchezo ulivyo utazaa tu na huyo mwanaume maana umependa hasa hadi kufungua uzi.....mmmmh haya kila la kheri zikiisha dk 90 ongeza 30 kisha malizia kwa penatiiiiiiii
Ubazazi na ufake muache.
Sio kila mwanamke yuko tayari kufurahia mwanamke mwingine akitoswa tena kwa masimango weakness kila mtu Anazo.
Mie kazi nimemaliza suala la kutubu na kutokutubu sasa niache mie na roho yangu babu.
Hata ivo huyu mtumishi fake alinifunza kuijua sana injili na sasa naweza kuiishi si kuitamka tu.
 
Kwaiyo nia yako imetimia si ndiyo? Nina wasiwasi umeibomoa ili ufaidi na imekua kinnyume umakuja kujifariji huku jukwaani.
We unaelewa kweli?
Hivi hujasoma kuwa ni mwenyewe yuko tayari kumuacha mkewe na alianza kitambo sana?
Mi sijapendezewa na hiyo kitu aisee. Na sina cha kujifariji kwani hujui kiasi gani ilinigahrimu kugundua anaishi na mkewe ndani.
Ongea tu kama huelewi vile.
All in all acheni ufake coz impact yake sio ndogo.
Umewazoea wanawake wanaochekea kushare ubazazi ndio maana unajifanya kumtetea mke wa jamaa kumbe moyoni unaona jamaa ndio kakosewa na kukosewa kwake kunakuuma coz ni mwanaume mwenzio so ubazazi mwaona ni haki yenu.
Na nitatengeneza chama cha kuwaumbua na ufake wenu mabazazi nyie
 
Tokea nimeanza kusoma post humu.Hii imeniumiza sana sana.
Japo sijaolewa ila naumia sana kuona ndoa ya mtu inavunjika kwa namna yoyote ile.
Mtoa post umekosea sana.Wanaume wameumbiwa tamaa.Ulichokosea ni kumvulia mchumba pichu.Ndo kilichokusababisha hadi ukavunja ndoa yake japo unajidefend hujavunja.
Ukweli ni kwamba umekosea sana unatakiwa uiombe hiyo familia msamaha.Watu tumetongozwa na waume za watu na tumekujagundua baadae ila tumepotezea kabisa coz isipomvulia mtu nguo wala hautoumia kamwe.Wewe alivyokwambia kwanza ni mtumishi ilikuwa ticket tosha ya kutomvulia nguo.Umeharibu jamani uuuuuuwi.Mungu akusamehe wewe ndo umejifake kwa mkewe nashindwa nitumie lugha gani ila namuonea huruma sana huyo jamaa na mkewe.
 
Nimejifake kumbe kumweleza ukweli ukaniweka huru [emoji15] [emoji15]
Ningekuwa mnafiki tu kama mlivo wengi wenu humu.
Mhusika kaelewa sana na anajipanga kujirekebisha kivingine nyie mabazazi wanafiki Endeleeni kutokwa povu.
Ndoa inauma halafu unashiriki kuiona mwenzio ananyanyaswa kisa uolewe wewe lol. Sijui kwanini mnapenda halalisha ufirauni.
 
Tokea nimeanza kusoma post humu.Hii imeniumiza sana sana.
Japo sijaolewa ila naumia sana kuona ndoa ya mtu inavunjika kwa namna yoyote ile.
Mtoa post umekosea sana.Wanaume wameumbiwa tamaa.Ulichokosea ni kumvulia mchumba pichu.Ndo kilichokusababisha hadi ukavunja ndoa yake japo unajidefend hujavunja.
Ukweli ni kwamba umekosea sana unatakiwa uiombe hiyo familia msamaha.Watu tumetongozwa na waume za watu na tumekujagundua baadae ila tumepotezea kabisa coz isipomvulia mtu nguo wala hautoumia kamwe.Wewe alivyokwambia kwanza ni mtumishi ilikuwa ticket tosha ya kutomvulia nguo.Umeharibu jamani uuuuuuwi.Mungu akusamehe wewe ndo umejifake kwa mkewe nashindwa nitumie lugha gani ila namuonea huruma sana huyo jamaa na mkewe.
Akili ya mtu inaonekana,kaeni muacheni huyu,hamjamgundua tu akili yake?tumuache
 
Back
Top Bottom