Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,279
- 185,556
Hukupaswa kuyapeleka kwenye ndoa yake... huo ni uchochezi...Niliamua kufanya kimya kiroho safi lakini jamaa alivozidi kunikomalia na ujue kuna vitu vingi katikati vilitokea. Alivozidi kunikomalia hata kuelekea kumtafutia mwenzie talaka nikaona isiwe shida Acha nidhihirishe ukweli huu. Maana wakati wa mawasiliano yangu na mkewe pia alikuwa akimention uhusiano wangu na mumewe kuwa ni kichochezi. Alikuwa anasema mumewe anwasiliana sana na mwanamke huko bongo na anaomba sana huyo mwanamke ajue ukweli pasipo yeye kujua kuwa huyo mwanamke ni mimi. Nikamjuza jamaa aachane nami ili a Lee family yake hakunielewa.
Better apate mwanamke mwingine na sio mimi.
Amevunja ndoa yake mwenyewe ingawa anaweza kuokoa coz mkewe bado anampenda sana na mimi nikizidi kumkataa jamaa ndipo nairudisha hiyo ndoa though mkaka mlokole anaweza kuwa ana jini mahaba coz si bure uwe tayari kumwacha mkeo just because of mimi Aaahhh
Kwa ulokole wake labda alikuwa anapewa kwa vifungu vya mistari ya Injili...
Baada ya kukutana na wewe umeempa mpaka ambavyo hajakuomba... wewe ni mbaya sana.. kumpagawisha mume wa mwanamke mwenzio...