Nini faida ya mvua kunyesha baharini?

Nini faida ya mvua kunyesha baharini?

nickson mangowo

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
113
Reaction score
88
Kuna swali najiuliza sipati jibu. Huenda unajibu unisaidie. Ninini faida ya mvu kunyesha baharini?
 
Mmm!! Kwa hiyo wee ulitaka bahari iwekewe mapaa ili mvua ikisha isinyeshewe!!
 
Kupunguza chumvi.

Ili ukizama unywe maji yenye chumvi kiasi tu.
 
Back
Top Bottom