Nini faida ya mvua kunyesha baharini?

Mmm!! Kwa hiyo wee ulitaka bahari iwekewe mapaa ili mvua ikisha isinyeshewe!!
 
Kupunguza chumvi.

Ili ukizama unywe maji yenye chumvi kiasi tu.
 
Back
Top Bottom