Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Leo nimesoma sehemu na kukuta kamati ya mashindano hayo inasema mashindano hayo yanasaidia mabinti kuwa viongozi bora.
Sijui labda mimi tuu, ivi kuna kiongozi yoyote ambaye ni product ya haya mashindano?
Nadhani faida ya haya mashindano haipaswi kutajwa hadharani?
Lakini nini hasa faida ya haya mashindano kwa Taifa maskini kama TZ?
Naona kama ni mashindano hewa au jipu. Nisaidieni