Nini faida ya Marais wastaafu wa Tanzania kwa nchi yetu?

Faida yao ni kuhakikisha wanaishi maisha mazuri, watoto wao wanapata kazi zenye high profile na hawaguswi, wao na familia zao kuishi maisha ya juu na yenye uhakika, na usalama wa uliopitiliza.
 
Hakuna mtu anateyekataa awe huru kufanya yake, lakini sio mpaka ya kijinga, ya kipuuzi, yasiyo na maslahi kwa nchi na Watanzania.

Sasa mkuu wao (wastaafu) wanaanzia wapi kumshauri rais aliye madarakani aache huo "upuuzi" usio na maslahi kwa nchi??!.--- ushauri ambao hautaleta mpasuko.

Unakumbuka:- Umwambafai??🤣🤣
 
Faida yao ni kuhakikisha wanaishi maisha mazuri, watoto wao wanapata kazi zenye high profile na hawaguswi, wao na familia zao kuishi maisha ya juu na yenye uhakika, na usalama wa uliopitiliza.
Hawana faida kabisa kwa nchi yetu.
 
Sasa mkuu wao (wastaafu) wanaanzia wapi kumshauri rais aliye madarakani aache huo "upuuzi" usio na maslahi kwa nchi??!.--- ushauri ambao hautaleta mpasuko.

Unakumbuka:- Umwambafai??🤣🤣
Hawako consistent kabisa, their afraiding their behind feet prints.
 
Faida yao ni kuhakikisha wanaishi maisha mazuri, watoto wao wanapata kazi zenye high profile na hawaguswi, wao na familia zao kuishi maisha ya juu na yenye uhakika, na usalama wa uliopitiliza.
What their doing we can't believe our eyes unless we add another two eyes.
 
kwa mfano; ulioa mke ukaishi nae 10 years
ukamuacha kwa hiari yako
mwanamke wako akaolewa na mwanaume mwingine
mwanaume huyo mwingine akawa anamfuja mkeo wa zamani unaweza ukamwambia Mwanaume mwenzio " usimfuje sana ,mtumie kama nilovyokua namtumia mimi" ?? unaweza mkuu?
 
Mtu alistaafu anatakiwa kupumzika ya kwake alishamaliza awe bosi au kibarua .
 
Uwe unasoma na kuelewa mada nani kasema wasipumzike? Mbona unakuwa slow learner namna hiyo Magufuri anaipeleka nchi katika uchumi wa kati au anaipeleka shimoni?
Husuda hiyo mjomba, watakucheka watu! Jamaa hakuna mfano wake mapinduzi aliyoyafanya kwa miaka 4 waliotangulia woote hawakuweza ndo maana leo wanajutia, unapokuwa Baba na unaruhusu watu wakushauri upuuzi na ukaukubali bora uamue mwenyewe ili mwisho uilaumu nafsi nafsi tu. Huwezi kunyosha nguo kwa pasi isiumie kwa joto lake, lakini mwisho wa siku itasifiwa kuwa imependeza. Vumilieni mpigwe randa.
 
hayo masilahi ya nchi ni yapi kama wanachi wanalala njaa na kufa kwa kukosa elimu na huduma za afya? au masilahi ya taifa ni raisi kutembelea private jet ?
Sema wewe na familia yako usisemee wengine.Usiseme hatuna hela watanzania sema Sina hela.Wabunge wote wakiwemo wapiga Domo wa upinzani wanapokea mamiloni kwa mwezi Wana shida hizo unazosema?

Nenda mashule yote ya bei mbaya ya kimataifa watoto wa watanzania mamilioni wako huko wakitandika English french medium nk Nenda mihospitali ya Bei mbaya kacheki watanzania walivyofurika wakitibiwa

Kacheki ndege zinazoruka zilivyojaa watanzania waliojikatia tiketi wenyewe.

Sema huna hela,huna chakula huna hela za kujitibia usiseme watanzania hawana.Ongelea nafsi yako na malofa wa familia yako Na mkae chini mjiulize inakuwaje ukoo mzima mko malofa.Nyie wachawi Nini?
 
Kwan Nyerere alipokosoa kuna kitu kilibadirika!?? Huo mpango wa kubinafsisha NBC ulisitishwa???!! Waacheni wazee wale mavuno ya kazi zao bhana kuliko kufanya mambo yasiyo zaa matokeo...Kama MAREKANI, UN na human rights wanakosoa halafu hakuna chochote kinacho fanywa sibora kumalizia bata la uzeeni🙄😂😂
 
Sema wewe na familia yako usisemee wengine.Usiseme hatuna hela watanzania sema Sina hela.Wabunge wote wakiwemo wapiga Domo wa upinzani wanapokea mamiloni kwa mwezi Wana shida hizo unazosema?

Nenda mashule yote ya bei mbaya ya kimataifa watoto wa watanzania mamilioni wako huko wakitandika English french medium nk Nenda mihospitali ya Bei mbaya kacheki watanzania walivyofurika wakitibiwa

Kacheki ndege zinazoruka zilivyojaa watanzania waliojikatia tiketi wenyewe.

Sema huna hela,huna chakula huna hela za kujitibia usiseme watanzania hawana.Ongelea nafsi yako na malofa wa familia yako Na mkae chini mjiulize inakuwaje ukoo mzima mko malofa.Nyie wachawi Nini?
Panic
 
Back
Top Bottom