Nini dawa ya kumkomesha mtu anayependa kupiga wenzie chabo?

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
kuna jamaa mmoja ktk nyumba niliyopanga anapenda sana kupiga wenzie chabo mara ktk nyufa za milango, mara dirishani na kwakuwa nyumba yetu haina dari kwa juu anapanda na kuchungulia. Amekuwa kero sana karibuni kwa kila mpangaji. Nini jawa yake huyu maaaluni?
 
Mke hana ila dada anaye. Kuna mpangaji mwenzetu aliamua kumtokea dada yake lakin wapi pamoja na kujua kuwa dada yake ndiye ambaye yuko ndani lakini bado alipiga chabo. Jamaa sijui mgonjwa maana hachagui pa kupiga chabo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom