Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

magharibi, magharibi! nani kakwambia? muulize msukuma maana ya "lusibo" na hiyo culture imeanza lini? its as old as sin itself...lakini nashangaa nini? kwa hilo vazi lako usingetamka neno magharibi ingekuwa the 8th World Wonder

mkuu elewa kuwa haya mambo wa africa hatukuwa nayo tumeletewa na ngozi nyeupe na ndio maana katika jamii yetu ni swala la aibu ikitokea mmoja ktk familia yupo hivyo
vazi langu limefanyaje?
 
Kusagana kwa wasichana na homosexuality ni negative thinking which is the dark side of life.
 
Hiyo tabia ni ushetani,pia wasichana wanajiendekeza.
 
Naona umesahau kua maumbile hutofautiana. Kila binadamu hamu hutofautiana. kuna mwanaume anataka mgegedo kila siku, kuna mwingine hata akae mwezi anaona sawa, wanawake pia hali kadhalika, mwingine anataka tendo moja limalizike haraka ajilalie, mwingine anataka lichukue muda afaidi vizuri. kwa hivyo usichanganyikiwe na sio complications ni maumbile hutofautiana, inategemea utakutana na wa aina gani.

Umeeleweka vizuri Da Asia.
 
mkuu elewa kuwa haya mambo wa africa hatukuwa nayo tumeletewa na ngozi nyeupe na ndio maana katika jamii yetu ni swala la aibu ikitokea mmoja ktk familia yupo hivyo
vazi langu limefanyaje?

naufuata mstari unaomention vaz, at first sight you looked like a mujahiddina to me..but you better note kwamba kuna enough ushenz from the east as from the west
 
naufuata mstari unaomention vaz, at first sight you looked like a mujahiddina to me..but you better note kwamba kuna enough ushenz from the east as from the west

sasa mkuu unadhani haya maujinga yameanzia wapi?
hao wajinga wa magharibi wametuletea majanga mengi
eti leo hii pritty wa joseph adai usawa na joseph lol
wajinga hao usiwafate
 
sasa mkuu unadhani haya maujinga yameanzia wapi?
hao wajinga wa magharibi wametuletea majanga mengi
eti leo hii pritty wa joseph adai usawa na joseph lol
wajinga hao usiwafate
kwako wewe ukitumia uwest utadai usawa..bw. joseph akitumia u-east atataka aongeze wanawake wengine watatu muwe wanne, na atakwambia kitabu kinamwambia "wavuneni wake zenu kwa njia yoyote mnayoona inawafaa nyie waume zao"....who will be worse-off? m-west au m-est?. i repeat there is much ushenzi from east as from west
 
Ni mihemko ya ujana kama ilivyo masterbation na gay - ulawiti kwa wavulana lkn yote ni malezi mabovu na kukosa elimu sahihi ya uzazi. Pia pornography hasa kwenye smartphone. Maadili na mwamko Wa dini kushuka na hasa kutoogopa dhambi ya zinaa kuanzia kwa wazazi na vijana. Kwa watu Wa ndoa kutofanya matayarisho - foreplay kabla ya tendo la ndoa hii husababisha mama wajanja kutafuta foreplay kwa shoga- rafiki take kuliko kuchipuka.
 
Ni ushenzi, mambo ya kuiga na kushikana akili,kukosa misingi thabiti yamaisha na unachokisimamia, kujichoka, kutojitambua, kukata tamaa ya maisha, na ujuaji mwingi ndo unasababisha

Kweli mkuu.
 
Halafu sijui kwa mwanamke aliyezoea mchezo huo akiolewa sijui inakuwaje?.

Mkuu hawa wakiolewa nahisi kuridhika itakuwa ni majanga kwao kwani hadi ki...n.embe kinakuwa kimeshazoea kushikwashikwa na kukosa stim
-Pia unakuta walikuwa wanatumia zile sex toys (dildos),matango n.k so hata dushe sijui kama watalisikilizia vizuri na kuridhika.

Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
kwako wewe ukitumia uwest utadai usawa..bw. joseph akitumia u-east atataka aongeze wanawake wengine watatu muwe wanne, na atakwambia kitabu kinamwambia "wavuneni wake zenu kwa njia yoyote mnayoona inawafaa nyie waume zao"....who will be worse-off? m-west au m-est?. i repeat there is much ushenzi from east as from west

unahitaji darasa la kutosha sana mkuu ili unielewe ila ufupi bora u east kuliko u west
 
mkuu elewa kuwa haya mambo wa africa hatukuwa nayo tumeletewa na ngozi nyeupe na ndio maana katika jamii yetu ni swala la aibu ikitokea mmoja ktk familia yupo hivyo
vazi langu limefanyaje?

Nothing is new under the sun! Hakuna kitu tulicholetewa na mzungu vyote vilikuwepo toka enzi na enzi sema tu waafrika ni wanafiki sana na wasiri! Wazungu wako open ndio maana unaona ndio wameleta huu ushenzi. Soma historia za empire za Afrila za kitambo na some of our cultures haya mambo yalikuwepo acheni kusingizia wazungu nitutafute solution ya kuyapunguza yasienee kwa kasi instead ya kublame wazungu!
 
I like that...ndio maana tunaishia kuwalaumu kuchukua almasi na dhahabu zetu wakati walitukuta tunazichezea bao...wametuachia baada ya uhuru hv sasa tunawapelekea ili tubadilishane na macontainer ya condoms!
 
tabia tu ya mtu,au kuumizwa kimapenzi.
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana.

Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia moja,

wengine wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya na wavulana.

Nini maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo tofauti tofauti.

Asanteni
Mada complex sana
 
Back
Top Bottom