Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

Wengi mabingwa tu wa miondoko na kuwasha ac kwenye vits zao kitandani wanaomba pooooo.
 
Nilisoma kwenye jarida fulani chanzo kimojawapo cha hii tabia ni masturbation kwa wadada! Kivipi inachochea hawakueleza
 
Wanawake mpo very complicated, juzi mwenzio kaja apa analalama jamaa yake anakimbiza lisaa unusu leo wewe unasema hatuwagusi vizuri yani fulu kutuchanganya
 
Nimesoma boarding kuanzia primary 3 mpaka form 4tena ni girls tupu (phwezi girls) na hakukuwa na hayo mambopia kuhusu kuachwa achwa sana ndo kuna sababisha hayo sio kweli kwani kama kuachwa nimeachwa sana.

Kimtazamo wangu naamini hili swala la usagaji halijaanzia hapa hili swala tumeletewa na watu wa magharibi na waanzilishi ni wale wanaopinga maamrisho ya mungu nakwakuwa shetani rafikiye shetani ndo maaa vinapamba moto.
 
Wasichana wanasema au ni mawazo yako tu? Hao wasichana uliwahoji lini?
 
Na kukosa hofu ya Mungu.
Ni ushenzi, mambo ya kuiga na kushikana akili,kukosa misingi thabiti yamaisha na unachokisimamia, kujichoka, kutojitambua, kukata tamaa ya maisha, na ujuaji mwingi ndo unasababisha
 
Naona umesahau kua maumbile hutofautiana. Kila binadamu hamu hutofautiana. kuna mwanaume anataka mgegedo kila siku, kuna mwingine hata akae mwezi anaona sawa, wanawake pia hali kadhalika, mwingine anataka tendo moja limalizike haraka ajilalie, mwingine anataka lichukue muda afaidi vizuri. kwa hivyo usichanganyikiwe na sio complications ni maumbile hutofautiana, inategemea utakutana na wa aina gani.
Wanawake mpo very complicated, juzi mwenzio kaja apa analalama jamaa yake anakimbiza lisaa unusu leo wewe unasema hatuwagusi vizuri yani fulu kutuchanganya
 
Tatizo hamtugusi gusi vizuri.
kwa hiyo unajustify kama humridhish bf au kama kakako hawi satisfied na gal wake basi aende kwa mijidume mienzake ikam....namaanisha ikamle kidoti? maana general conclusion ninayoiona hapa ni kuwa kama jinsia tofauti haikidhi basi kuwa homosexual, sio?
 
Nimesoma boarding kuanzia primary 3 mpaka form 4tena ni girls tupu (phwezi girls) na hakukuwa na hayo mambopia kuhusu kuachwa achwa sana ndo kuna sababisha hayo sio kweli kwani kama kuachwa nimeachwa sana.

Kimtazamo wangu naamini hili swala la usagaji halijaanzia hapa hili swala tumeletewa na watu wa magharibi na waanzilishi ni wale wanaopinga maamrisho ya mungu nakwakuwa shetani rafikiye shetani ndo maaa vinapamba moto.
magharibi, magharibi! nani kakwambia? muulize msukuma maana ya "lusibo" na hiyo culture imeanza lini? its as old as sin itself...lakini nashangaa nini? kwa hilo vazi lako usingetamka neno magharibi ingekuwa the 8th World Wonder
 
Na mkeo ukimkuta anasagwa na wenzie kama 6 hivi utafanyaje ????????
 
Satan is at work to destroy men; unfortunately men had failed to know the wiles of the devil and claim to have freedom to enjoy whatever they want and term it as 'human rights', democracy and freedom while forgetting that there is no freedom without limitation.

God created man with an inquisitive mind, but He also put in us self control. Pasipokuwa na kiasi, binanadamu hushindwa kujizuia.
 
Nakubaliana na wwe!!
 
Kuna wanaozaliwa hvyo wanavutiwa na waschana zaid wengne wanaiga coz wanaskia sana kwenye mitandao ya kijamii unakuta naye anataka kujaribu ikoje
 
Back
Top Bottom