Very true mkuu.Wakati mwingine ni personal decision tu
Sina la ziadamawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
na pia tabia ya mtu.Wakati mwingine ni personal decision tu
hee. wngine wakiwa na michepuko hawakubali kuulizwa ktu..akiulizwa kitu anakua mkali kama pilipili kichaa.Kwa ujuzi wangu, kitu pekee cha kufanya hapo ni maongezi kati ya hao watu wawili. Maswali na Majibu hadi mpate muafaka na mwisho ni mapatano.
Kwelimawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
Yea, leo anafanya decision ya kucheat, kesho anarudia, kesho kutwa yanakuwa mazoea then tabia inajengekana pia tabia ya mtu.
Yaani apart from hayo yote ,yaan unajitahidi ur best!y are they doing this?mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
Teh usishangae ukageuziwa kesi "kwa nini unanichunguza"hee. wngine wakiwa na michepuko hawakubali kuulizwa ktu..akiulizwa kitu anakua mkali kama pilipili kichaa.
Sometimes influence from outside can cause tension in the house(the in laws), hii inategemea pia how strong is the love between two of you.Yaani apart from hayo yote ,yaan unajitahidi ur best!y are they doing this?
wanaume wana trick nying sana, mnawwza mkayaongea vizuri sana lakin usiku mwenzio akageukia kushoto akaaga goodnightKwa ujuzi wangu, kitu pekee cha kufanya hapo ni maongezi kati ya hao watu wawili. Maswali na Majibu hadi mpate muafaka na mwisho ni mapatano.
Relationship inawez ikawa strong na y muda mrefu lakn these guys they dont appreciate thats all i can saySometimes influence from outside can cause tension in the house9the in laws), hii inategemea pia how strong is the love between two yo you.