Nini chanzo cha damu kuganda kwenye mirija ya uzazi na tiba yake

The coolest jw

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
655
1,030
Mke anaumwa tumbo ni mjamzito ameenda kituo cha afya na kuambiwa kuwa damu imeganda katika mirija ya uzazi. Je kuna dawa ya kuyeyusha hiyo damu?

Na pia je akitumia hiyo dawa mimba haiwezi kutoka?
 
Ni mimba ya miezi mingapi? Inawezekana kuwa ni mkusanyiko tu wa hormones kama bado yuko chini ya first trimester na unaji resolve jinsi mimba inavyokua.
 
Back
Top Bottom