Nini cha ajabu kwa wake za watu

nimepata kigugumizi cha vidole....ila nadhani ni pepo linawasumbua tena litakuwa ni pepo la ngono...na yote hiyo mwisho wake huwa mbaya.....tena mbaya sana
 
Nadhani mpo salama, mnajua hua sielewi kabisa linapofika swala la kumtamani Mke wa mtu/Mume,bila kujali ...

Mwanaume unaoa kwa nini?

Mwanamke unaolewa kwa nini?

Kabla ya kuamua kuingia kwenye maisha ya ndoa ulikuwa umejiandaa?

Wewe mwanaume/mwanamke unajua wajibu wako katika ndoa?

Ikumbukwe kwamba mwanamke katika maisha yake yote hapa dunia huwa na wapenzi wa kiume saba (7)
 
#3 kuna mwanamke alipanga nyumba ya mzee wangu, nikawa naishi pale maajabu kila nikienda bush nakuja na ndizi za kupika nyingi sana na mimi naishi alone naishia kumgawia hee! si akataka nitunuku papuchi bila hata ya kuomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…