Nini Athari ya Kutoa Utomvu wa Kwenye Masikio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Athari ya Kutoa Utomvu wa Kwenye Masikio?

Discussion in 'JF Doctor' started by IshaLubuva, Jul 11, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Siku moja nilinunua vijiti vya kusafishia masikio na nikawa nampa mshikaji mmoja yeye akanambia ameacha kusafisha ute/utomvu unaokuwemo kwenye masikio baada ya kumsikia Daktari mmoja akieleza kwamba utomvu unaotengenezwa kwenye masikio ni kinga kwa ajili ya kuzuia vitu ambavyo vinaweza kuingia kwenye sikio na kulidhuru.

  Tafadhal wataaluma wa viungo vya binadamu watoe ufafanuzi wa iwapo tunahitajika kutoa kitu kinachoonekana kuwa uchafu nadani ya masikio yetu au la.
   
 2. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UTE AU UTOMVU HAWAKILISHA UMBILE LA KIMIMINIKA[Liquid] ambazo zikitoka sikini huwa ina maana kuwa ni matatizo ya sikio[usaa,damu,,..n.k]
  Nadhani kama nimekuelewa vema una maana ya ear wax,.. basi link hapa,...kwa kuanzia Earwax - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  SAHIHISHO:
  Siyo utomvu wala ute..bali ni NTA!
   
 4. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa kuniunganisha. Kuhusu Usahihi wa jina hayo ni mambo ya lugha kwani kimsingi Nta (Wax) ni zao/bidhaa itokanayo ya asali ndo maana wakaongeza neno "ear..." ili kuwa mahsusi (specific). Mimi nadhani ili kukikuza kiswahili lazima kuwepo na unyumbulifu wa kuyatumia maneno yaliyopo.
   
Loading...