utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 990
- 800
Habarini za mchana/asubuhi/usiku wakuu. Nilikuwa naomba kwa anayejua bei kamili ya hizi simu dukani au kashaziona kwenye pita pita zake hapa na pale, Angeni saidia kunitajia na pia hata duka alipoziona (especially kwa ya kwanza) maana nimezipenda mno alafu nimechoka simu yangu kwa sababu ya Memory yake ndogo na kutokuwa na Rom za Jellybean (CM10)..
1. HUAWEI Y300 -Huawei Ascend Y300 - Full phone specifications Hii ndio nimeipenda mno.
2. SAMSUNG GALAXY YOUNG S6312 -Samsung Galaxy Young S6310 - Full phone specifications ..Hii ni second option yangu.
Ntashukuru sana msaada wenu.