Ningependa kujua kuhusu Daily motion na youtube

Troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,834
Reaction score
40,649
Wadau wa tech salamu kwenu.

Ningependa kujua kati ya daily motion na youtube. Ipi ilikuwa ya kwanza kuanzishwa. Na hii daily motion inamilikiwa na kampuni ipi? (Nafahamu kuwa youtube ni ya google) Na why haijawa maarufu sana kama youtube. Ikiwa zote zinadili na kitu kimoja yaani video za online.

Na je mfumo ukoje yani unaweza kuwa na chanel huko daily motion na ukapiga hela kama kawa?

dailymotion - Explorez et regardez des vidéos en ligne ambao hawaijui link hii

Wenye kujua tuelimishane kwenye hili pls. Cc CHIEF MKWAWA na wengine.
 
Kiuhalisia zimetofautiana kidogo sana muda wa kuanzishwa kwake. Yuotube ilianza mwanzoni mwa 2005 baada ya marafiki wawili kubuni njia ya kushare videos.
Dailymotion ilianzishwa mwaka 2006. Head quarters ziko Paris. Inamilikiwa na Vivendi kwa zaidi ya 90%. Wamiliki wengine ni BBC News,VICE,Bloomberg nk.

Kulikuwa na mazungumzo toka mwaka 2014 na kampuni ya Microsoft ili kununua hisa zake but sijui mambo yakoje,ila kampuni tanzu 'Orange' iliwahi kuripoti mazungumzo hayo kuwa yanaenda vzr.

Dailymotion inapitia kipindi kigumu maana mbali na kupatikana kwa nchi takriban 35 na katika lugha 18 tofauti,iliwahi kupigwa marufuku mara 2 katika nchibya India(walidai inamiliki video za ISIS). Pia hadi sasa imezuiliwa(banned) huko Kazakstan.

Nahisi urahisi wa kupakua video zao unawalostisha zaidi Dailymotion kwani Youtube wamefanikiwa kuzuia hilo isipokuwa wachache ndio wanapakua video zao.

Contents za Dailymotion kwangu naona ziko poa tofauti na Youtube ambako kuna kila takataka kiasi kwamba akili za binadamu zinakimbilia kuona huko daily kuna nini.

Kitendo cha kupatikana kwa baadhinya nchi pia ni sababu kwa Dailymotion kutokuwa popular kama Youtube
 
asante sana mkuu.

naona wengi hawijui hii. wanashangaa tu
 
Back
Top Bottom