Hebu nikumbushe Mwanaasha ni nani?
Umemthahau mara hii?!! si mtoto w mzee wa magogoni aliyetaga juzi kwnye matokeo fom4, halafu nahisi yy ndio aliyeandika ile mistari y bongo fleva.
MAPROSOO.
yeye anataka chuo cha mlimani..
jamani hajataga
sio mtetea yule
katoa maziwa nusu lita
ila ya mgando
Mwenyewe nimefurahi kweli na zero yangu
Karibu greenland colledge hapa kariakoo kwa ajili ya Hotel Management na komputa, french, inglish na spanish bure. Tunapokea hata wasiojua kusoma, majaribio utaenda Znz na kuna uhakika wa kazi.