Ningekuwa.....

Ningekuwa.....

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Dogo mmoja alipanda daladala akawa anaimba..Baba angekuwa beberu mama angekuwa mbuzi mimi ningekuwa ndama, baba angekuwa jogoo mama angekuwa koo mi ningekuwa kifaranga...,konda akaona dogo anampigia klele akamwambia babako angekuwa mlevi mama ako angekuwa changudoa , we ungekuwa nani? Dogo akajibu...ningekuwa konda..
 
Safi sana Dogo kwa majibu ya Mtoto wa Mkulima ya Papo kwa Papo
 
nadhani alichezea makofi ya kutosha afu anashushwa kwenye daladala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom