Ili kuzuia msongamano wa malori makubwa kwa hapa Dar, ningejenga Bandari kavu pale maeneo ta Ruvu/Vigwaza ili kuzuia malori yote yanayokuja Dar kutoka nchi jirani na mikoani kuja kuchukua mizigo yao Bandarini wataishia pale kwa maana hiyo kwa vile kuna hii reli ya kutoka Dar kwenda Moshi kupitia Ruvu tungeitumia kusafirishia hii mizigo, kuliko kubanana ktk hizi yards tunazoziona kama vile SDV(Bollure), Azam Cargo nk