ningekuwa bwana harusi ningekimbia

ningekuwa bwana harusi ningekimbia

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626
invisible weka jukwaa la urembo
558551_431582093524567_100000183406917_1876487_173284373_n.jpg
 
ha ha ha, ndio make up za kiarabu hizo.

Siku hizi ni mwendo wa colour blocking tu.
nasikia flower girl alikataa kuingia ukumbini kwa kilio alikuwa anadai ni nini hiki?
 
oooh my god urembo ukizidi sana unaharibika

Bibi harusi no mvuto
Bestlady no mvuto
Make up zimezidi...

Huyu aliyewapamba kina sauda mbona kawaharibu vya kutosha..
Ni wakati sasa wa mpambwaji kusema anataka nn:shock:
ni saluni za wapi hizi zinapamba watu hivi jamani?
 
duh....hivi tunahitaji kuongea na mkuu invii eeeh.....
hatuna jukwaa la urembo hapa.....
umeona shosti hee eti hao ni wadada wa mjini .je wabush itakuwaje.kuna umuhimu sana wa jukwaa la urembo tunusuru ma bi harusi
 
Preta mie nilishamuomba Invisible jukwaa la urembo na fashions akanichunia
Nadhani lina umuhimu wake

umeona shosti hee eti hao ni wadada wa mjini .je wabush itakuwaje.kuna umuhimu sana wa jukwaa la urembo tunusuru ma bi harusi

sasa basi tumuendee kwa unyenyekevu....atusikilize.....
si mnajua tunasikilizwa sana sisi wabeijing.....
 
sasa basi tumuendee kwa unyenyekevu....atusikilize.....
si mnajua tunasikilizwa sana sisi wabeijing.....
papaa invi kauzu sana yule
hachuniki....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom