b5-click JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,195 2,109 Mar 26, 2017 #1 Ningejiuzuru... Mtoto wa darasa la 4 kwenye Sunday school, alipo ambiwa atunge sentensi kwa kuanza na maneno Ningekua Rais...
Ningejiuzuru... Mtoto wa darasa la 4 kwenye Sunday school, alipo ambiwa atunge sentensi kwa kuanza na maneno Ningekua Rais...
xav bero JF-Expert Member Nov 24, 2016 5,134 7,324 Mar 26, 2017 #2 Naona unamlisha mtoto maneno kama yule alietiririsha kutaja mawwziri kumbe kalishwa maneno duuuh jionee huruma kwanza kwa kukubaki kujidanganya
Naona unamlisha mtoto maneno kama yule alietiririsha kutaja mawwziri kumbe kalishwa maneno duuuh jionee huruma kwanza kwa kukubaki kujidanganya
b5-click JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,195 2,109 Mar 26, 2017 Thread starter #3 xav bero said: Naona unamlisha mtoto maneno kama yule alietiririsha kutaja mawwziri kumbe kalishwa maneno duuuh jionee huruma kwanza kwa kukubaki kujidanganya Click to expand... Umekunywa viroba vya wapi ankoli!?
xav bero said: Naona unamlisha mtoto maneno kama yule alietiririsha kutaja mawwziri kumbe kalishwa maneno duuuh jionee huruma kwanza kwa kukubaki kujidanganya Click to expand... Umekunywa viroba vya wapi ankoli!?
K kiogwe JF-Expert Member Oct 24, 2012 3,757 4,939 Mar 26, 2017 #4 b5-click said: Umekunywa viroba vya wapi ankoli!? Click to expand... Mkuu nimekulushia mkopo ulioomba kule no yangu imeishia na Bashite
b5-click said: Umekunywa viroba vya wapi ankoli!? Click to expand... Mkuu nimekulushia mkopo ulioomba kule no yangu imeishia na Bashite
b5-click JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,195 2,109 Mar 26, 2017 Thread starter #5 kiogwe said: Mkuu nimekulushia mkopo ulioomba kule no yangu imeishia na Bashite Click to expand... Hahahahah.. Mkuu kwa namba ipi tena
kiogwe said: Mkuu nimekulushia mkopo ulioomba kule no yangu imeishia na Bashite Click to expand... Hahahahah.. Mkuu kwa namba ipi tena