d tarimo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 918
- 517
wakuu katika pita pita zangu mitaa ya ubungo kama ukiwa maeneo ya ubungo utaona wafanya biashara wote wakiwa wameweka bendera za chadema kwenye maeneo yao ya kazi huku ccm ikipeperusha bendera zake kwenye miti
kutoka mataa kuja mpaka stend ya mabasi yanayo enda kibaha mlandizi utaona mabango ya mh mzungu nimetafakari nimekosa jibu .........
ukitoka kidogo km unaenda m cty utazan ndo makao makuu ya chadema naona ni rang nyekundu na nyeupe.............
ukipita mitaa ya mabibo hata sisemi kitu ............
ccm inakubalika kidogo pale maeneo ya kimara mwisho kwenye ofisi yao .......
namuona adidas masaburi kwambali sana kama vile anataka kukata tama
mpaka tarehe10 mtaelewa