Ninayo program ya kutuma sms kama ile ya Marando | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninayo program ya kutuma sms kama ile ya Marando

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shark, Jul 23, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  wana jf nimeshangaa kusikia eti mtu kaenda mpaka Israel kutafuta limtambo la kuandika sms zile akina Lameck madelu mkumbo(Mwigulu Nchemba) wakati mm ninayo toka mwaka juzi just kaprogram tu tena kanatumia bluetooth, ni ajabu hata intelijensia makini ya kina marando aliyeshiriki kumwinda akina kapten kajaja na akina tamim enzi zile za mapinduzi ya tanganyika, kwa yeyote anayeitaka adownload kupitia http://k508i.wz.cz na hii ni maalum sana kwa wale wenye nokia na ina uwezo wa kutumia simu ya mwingine kutuma msg, kupiga, kuiba salio, na mengineyo mengi sana ninayo nyingine ambayo ina uwezo wa kupata pasword zoote kwenye simu ya mwingine. mbona haya mambo ni rahisi sana ha ha ha ha magamba mmekwisha kwa teknolojia rahisi mliyoileta. haya ndo maelezo yao


  To change language open 'nastavenia' -> 'jazyk' select 'english' and press 'späť'.

  Program for controlling and reading information from remote phone via bluetooth or infra. Phone List and SMS can be stored in html format.

  The latest version features the following functions:
  • Informations: display informations about battery, network, sim card
  • Ringing: playing sounds of incoming call, alarm clock...
  • Calls: dialing number, ending a call..
  • Language: change language in phone
  • Keys, Pressed keys: pressing and watching pressed keys
  • Contacts
  • Reading SMS
  • Silent mode: turning on or off
  • Phone functionality: turning off the network / phone
  • Hlasitosť zvonenia
  • Alarms:
  • Clock: change date and time
  • Phone locks
  • Clip, Clir
  • Change network operator
  • Java: start, delete java applications
  • Media Player
  • Text
  • SE applications
  • Calendar
  • Keys sound
  • Temperature:
  • Paired devices:
  • Volume
  • Memory status:
  • Radio icon
  • Keylock
  ijaribu then utagundua ni rahisi kufanya yale ya marando bila kuleta limtambo
   
 2. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hongera zako ndugu.
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Sir Burn, mbona mimi inanikatalia?
   
 4. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wapelekee magamba hiyo program ili waboreshe ufanisi wa kazi waliyoianza..2015 ni chali tu hakuna pa kutokea, Mfa maji......................
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kwa vyovyote vile ushahidi wa kutumia msg ni DHAIFU sana... MWIGULU ni kilaza alilopoka tu
   
 6. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kweli jf ni zaidi ya chuo kikuu hongera kutujuza hata mimi nilkuwa kapuni ngoja niitafute je, ni nokia zote hata za kichina?
   
 7. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,629
  Likes Received: 3,009
  Trophy Points: 280
  Safi kabisa
  "Vox populi,Vox dei"
   
 8. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pengine wakubwa wa Nchemba walienda Israel kwa sababu ya 'myth' kuwa huko ndiko kuna intelligensia ya juu. Kumbe wamenunua kitu ambacho kiko hata hapo Karikaoo kwetu!
   
 10. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jf ni zaidi ya FBI,duh
   
 11. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wtgghjkj
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Haya mambo ya kupandikiziana msg za chuki ni ya aibu sana. Sasa ona wanavyovuliwa nguo adharani.
   
 13. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  I am in as well 2015 for me & CHADEMA
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Ngoja nitaiangalia badae hii kitu....ila nahisi it works good..!!
   
 15. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Program yako inawezakuwa inafanya kazi lakini kwa kifupi ni kuwa imepitwa na wakati. Watu wengi siku hizi hawatumii simu zenye OS ya Java, sikuhizi tunatumia Android, iOS na Windows Mobile. Program yako ina uwezo wa ku deal na only Java based Mobile Phones kwahiyo usiwabeze wanaenda Israel kununua hiyo mitambo. Ever heard of EKSP1210? Google that....
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  yeah ni sawa inakawa imepitwa na wakati lakn nilichotaka ni kuwaonyesha hawa magamba kuwa hcho walichofanya ni mchumba tu kwa Tanzania ya sasa
   
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  yeah inafanya kazi ila ukisha zama katika website yao kuna choice nyingi ya aina ya simu na zipo za aina nyingi kaka hyo hapo chini ya EKSP1210 kidogo ni latest
   
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Duh,
  Nakukubali kaka,

  Ndo naamini sasa hata zile meseji zilizokua zikiwachafua wapinzani zikaonekana kama zilitoka nchi za nje kumbe zilitoka Lumumba tu.
   
 19. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Majinga ndiyo yaliwayo siku zote. Walikwepa Kariakoo wakifahamu wazi kuwa itakuwa rahisi kugundulika, hayafahamu kuwa ulimwengu siku hizi ni kama kijiji vile. Nayaonea huruma alafu ghafla zinanijia hasira za kutisha.
   
 20. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa kama ni bluetooth, si kila mwenye simu lazima awe ameungaisha/active bluetooth yake. Huweai kuaccess simu ya mtu kama hajaiweka kwenye bluetooth. Ndo maana mimi huwa nahakikisha bluetooth na infared ziko off muda mwingi hasa unapokuwa kwenye mikusanyiko ya watu.
   
Loading...