Hey hey, there boss! Mwanzo wa ngoma ni lele. Stick unto that, fella!mpiganaji wa haki na wa kweli haongei hata kidogo.....utasikia kwenye habari tu (kama somalia 300 wamekufa , sio kelele mitandaoni stop being a coward..unajiliwaza na maandishi na kujipa moyo...
njaa inakusumbua boss..kwanza umeshakula au unakalia politiki tu.. wakati nyumbani hoi...Hey hey, there boss! Mwanzo wa ngoma ni lele. Stick unto that, fella!
Yaani kitu kimoja ambacho unatakiwa kutambua ni kwamba sasa hivi Tundu Lissu ana authority zaidi, anayo "AURA" kubwa zaidi, kabla hata hajaongea chochote. Sasa hivi Tundu Lissu ni wa hatari zaidi. hivi unakumbuka kwa nini Marekani waliamua kumzika Osama Bin Laden baharini? waliogopa kwamba hilo kaburi lake lingekuwa na nguvu mno kuliko hata alivyokuwa hai.Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!
Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.
Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
Yaani kitu kimoja ambacho unatakiwa kutambua ni kwamba sasa hivi Tundu Lissu ana authority zaidi, anayo "AURA" kubwa zaidi, kabla hata hajaongea chochote. Sasa hivi Tundu Lissu ni wa hatari zaidi. hivi unakumbuka kwa nini Marekani waliamua kumzika Osama Bin Laden baharini? waliogopa kwamba hilo kaburi lake lingekuwa na nguvu mno kuliko hata alivyokuwa hai.
Mimi robot huwa nakula maandishi. Umeshindwa kujibu umeanza personal attacks! Try me!njaa inakusumbua boss..kwanza umeshakula au unakalia politiki tu.. wakati nyumbani hoi...
kwani Lema amerudi vipi?Mmh! Mda utongea kikubwa apone
Lakini mleta mada anasema yote hayo unayoyasema wewe, ni kwamba Lissu akirudi hatakuwa na hayo tena! - Kaandika hivi "Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji ............"alexelias, naomba nikupe ushauri kidogo...sijui ni lini ulimfahamu Mh. Tundu Lissu na sina hakika kama umechukua muda angalau kiduchu tu kusoma historia yake na kumuelewa anachoamini, anachosimamia, anachotetea na anachopigania. Wakati anahangaika juani Rais wa sasa alikuwa anakula kivulini.
Mh. Tundu Lissu hakusubiri amalize shule, hakusubiri aajiriwe, hakusubiri awe Mbunge na hakusubiri awe Rais ili aanze kupigania haki na utawala unaoheshimu sheria, hapana, Mh. Lissu ni tofauti kabisa na viongozi malimbukeni wanaoota kama uyoga na kujikuta wanasukumiziwa madaraka yanayowazidi uwezo.
Mh. Tundu Lissu anayo historia ambayo inawapa hofu viongozi wasio na sifa, busara wala hekima. Hali hii inawavua nguo hao madikteta uchwara kiasi wako tayari kumtoa roho Mh. Tundu Lissu kwa sababu kwenye jamii ya wapofu, mwenye chongo ni mfalme. Kwenye jamii hiyo mwenye macho ni adui.
Hujui misukosuko aliyopitia Mh Tundu Antiphas Lissu katika kuwapigania wanyonge wa nchi hii kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini huku Magufuli akila, kunywa na kushirikiana na watawala anaodai leo waliipindisha nchi. Mh. Tundu Lissu hawezi kunyamaza labda anyamazishwe kama walivyopanga hao mashetani.
Lakini Mungu mkubwa...iko siku haki itatendeka.
Tramadol.....Tuzidi kumwombea tu kwa Mungu hilo ndilo muhimu mengine hayo tuyaache
Subirini arudi mnadhani Lisu ni Roma Mkatoliki au DDr. Ulimboka.Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!
Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.
Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
MUNGU HASHINDANI NA MWANADAMU KAMWE... ALIPONYWA NA MUNGU HAKUNA UTAKALOWEZA FANYAAwamu hii tunalenga kichwa
Unataka kusema hata majambazi waliokoswakoswa risasi nao wametarajiwa kuokoa taifa? Huyu atakubalitu kutuliaLissu ndie Rais atakayeliokoa hili Taifa toka kwa wanafiki na watu wenye roho chafu /mbaya, ndiye aliyetabiriwa.
Mngejiuliza kwa tukio kama lile lililompata kwanini anapumua mpaka sasa..!? Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana.
Muda ndio mwamuzi
Hata majambazi huponywa na mungu nasiku zote kutokufa mapema sio kipimo cha kutenda memaMUNGU HASHINDANI NA MWANADAMU KAMWE... ALIPONYWA NA MUNGU HAKUNA UTAKALOWEZA FANYA
SAWAHata majambazi huponywa na mungu nasiku zote kutokufa mapema sio kipimo cha kutenda mema
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!
Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.
Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
Bado mtaendelea kuaibika ..Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!
Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.
Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.