umufumya
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 238
- 167
Humjui Lisu weweHakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!
Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.
Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.