Ninaye ila sipati kitu!

Ninaye ila sipati kitu!

Muulize kinagaubaga kama ni bikra, kama ndio vumilia hadi ndoa ila kama ishatolewa achana nae maana anaweza kukuona zoba kwako anakunyima na full kuhudumia ila kuna chalii anajilia tena bure na mara kwa mara baada ya ndoa unapewa mzigo utam wote umeisha yamebaki makombo tu na mahandaki
Asante, nimekuelewa sana...naahidi kuutumia ushauri wako
 
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Peleka Mahali, anajua unataka umchakachue weee then umwambie wewe sio type yake.
Kama huwezi kupeleka Mahali unataka naniliu tu Muache, wewe pita hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom