Ninaye ila sipati kitu!

Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Katoe mahari kijana, mwenzako hataki kurudia makosa.
Kazi ni kwako.
 
Ni mambo ya Mungu hayo. Kama unampenda kweli we katoe tu mahali. Mkumbuke mwenzako Yusufu alienda kulipia kwanza. Mwenzako kachoka kuonjwaonjwa Mi nakushauri badala ya kutumia mbegu zako vibaya zitumiekwa mkeo tu yaan inaitwa kuvaa Bomu LA mapenzi.Mungu akusidie utambue umhimu na thamani ya hizo mbegu zako.UOTE="Valentine Yusuph, post: 31352564, member: 550243"]
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
[/QUOTE]
Ee
 
dah, miaka miwili hakupi mzigo! si bure mchunguze vizuri atakuwa na msela anakula hiyo kitu yake
 
Si umeshaambiwa utoe mahari kwanza unaomba ushauri wa nini tena au hujui hizo ndizo taratibu unazotakiwa kufuata ili upewe kipochi manyoya? Mmezoea vya kunyonga mnavishinda vya kuchinja pole sana

Katoe mahari namuunga mkono huyo binti ndiyo dawa yenu nyinyi wavurugaji
MAMBO YA KUUZIANA MBUZI KWENYE GUNIA
 
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Muulize kinagaubaga kama ni bikra, kama ndio vumilia hadi ndoa ila kama ishatolewa achana nae maana anaweza kukuona zoba kwako anakunyima na full kuhudumia ila kuna chalii anajilia tena bure na mara kwa mara baada ya ndoa unapewa mzigo utam wote umeisha yamebaki makombo tu na mahandaki
 
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Kama unampenda endelea kuvumilia jamaa....ha haa ila kuwa makini huenda wewe kakufanya Husband Material for future uses wakati ana part time wake muda huu
 
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Kuwa na mpenzi kabla siyo sababu ya yeye kuwa amelala nae!
Halafu kuna wanaume wakitajiwa tu bikra inakuwa kero.... Mvumilie we si unataka mke au unapita tu...???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom