Ninawashangaa eti wananishangaa.

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,583
Reaction score
1,098
Hapa ndipo ninapoishi

Majaaliwa nikapata hela nikaenda kununua mausafiri haya

Ndugu wananishangaa na kunisimanga.,ebo!!!hebu waniachage nipige kazi.Ala!!!
 
Tatizo utalipaki wapi?
Kwa kweli hilo sikuliwaza,lakini pamoja na hayo ndio wanisemeseme?Aah!Acha niwazibe midomo bana nami nizibe maskio.
 
Reactions: ydn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…