Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Asprin haikufua dafu.... kuna mikono mingine ina nguvu kuliko asprin. mpwa tukutuku likileta za kuleta nstue. Kizuri kula na nduguyo.

Hahahahahaha mpwa tuktuk nililitelekeza maeneo si nilifumaniwa nikachomoka na kuliacha tuktuk
 
Hahahahahaha! Kiongozi mi ntakuombea usiumwe bana! Kuumwa si kitu kizuri.....Hasa kiuno.:welcome::welcome:
Duh...yaani uko gonjwa had unachezewa karibia na ofisi kuu bila madahra yoyote?:A S-danger:...
Pole sana....kama walivyofanya wema wengine hapo juu na mi naomba jina na location ya hospitali.....just incase...
Hivi kama gari likitoka kwa fundi si linajaribiwa kabisa kama limetengenezeka?...
 
infidelity ni sehemu ya tiba!
infact INFIDELITY NI TIBA YA KITABIBU!....

long live infidelity!
nb:nipo kwenye semina za uzinduzi wa kampeni za chadema nimeshindwa kujizuia imebidi nipost tu!tunaendelea na mchakato huku...!SLAA FOR PRESIDENCY-2010
Alianza huyu

Aisee nipe na mimi location ya hospital once nikiugua na mimi nitademand nilazwe hapo kama mambo yenyewe ndiyo hayo au ndio physiotherapist available upon request
Huyu akataka awahi

Aspin tafadhali toa location ya hospital kwani baada ya kusoma andiko lako nahisi kuanza kuumwa umwa
Kumbe huyu naye anataka

Aisee kama unaona UTAMU namna hiyo. nielekeze nami nifanyeje niweze kutengua kuino halkafu nimpate huyo mtabibu mcheshi wa vitendo.

Pole sana kwa kuugua na hongera kwa kujifanya kuumwa ingawa umepona
Kisha huyu akataka awapiku wote.

Woooote hawa wanamtaka mtibuji wangu, wanataka kumharibia maisha yake..... Mimi nasema Sidanganyiiiiikiiiii!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big:
 
Umenitamanisha ngoja na mimi weekend hii nijitegue kiuno:becky: Hepu nipm hiyo number ya physiotherapist hommie!!
Hommie naye akahitaji

Duh...yaani uko gonjwa had unachezewa karibia na ofisi kuu bila madahra yoyote?:A S-danger:...
Pole sana....kama walivyofanya wema wengine hapo juu na mi naomba jina na location ya hospitali.....just incase...
Hivi kama gari likitoka kwa fundi si linajaribiwa kabisa kama limetengenezeka?...
Kabla ya hommie mwingine hajajaribu bahati yake

CHEZUMWI imeshika kasi yake............:welcome::welcome:

KIZURI KULA NA NDUGUYO.... Rule no ngapi hiyo?
 
ai ......huyo muuguzi angekuwa mwanamme sidhani kama asprin angekuja kutoa maelezo ya namna anavyotibiwa! heheh

get well soon
 
Hahahahaha! Angekuwa mwanaume labda ingekula kwake..........

Yaani nilisaulie janaume jenzangu, lianze kunipaka mafuta...........halafu? GOD FORBID!!!!:argue:
 
Nimetulia dada yangu na masharti nazingatia......ila jamani kwanini Mungu wakati mwingine anaamua kuumba kwa makusudi namna hii?:confused2::confused2:

Jikite katika kusali na kufunga, kwa kumuomba roho mtakatifu akuepushe na vishawishi. Kumbuka maandaiko yanasema jicho lako likikukwaza ling'oe, nawe nakushauri ufanye vivyo hivyo!!!
 
Poleeeee samaki poleeeeeeeeee...........anavyokugeuza-geuza......pole samaki poleeee

(samaki = asprin)

Pole mwaya kaka utapona tu
 
Hilo angalizo kwa kweli itakuwa ngumu asee....nipe kifungu kingine chenye japo faraja lol!:confused2::confused2:
 
Babu nisamehe nimesoma hadi nukta ya mwisho. Ningejua ningeishia kichwa cha habari tu Babu ili nikupe pole ...... Lakini nilikuwa natafuta Kilichopelekea uumwe!
 
Poleeeee samaki poleeeeeeeeee...........anavyokugeuza-geuza......pole samaki poleeee

(samaki = asprin)

Pole mwaya kaka utapona tu
Nshakuwa samaki tena? LOL! Njoo univue basi:welcome::welcome:
 
Woooote hawa wanamtaka mtibuji wangu, wanataka kumharibia maisha yake..... Mimi nasema Sidanganyiiiiikiiiii!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big:
Mpaka hapo Ushadanganyika Aspirin, By the way Congratulation kwa kupata Dr.
 
Babu nisamehe nimesoma hadi nukta ya mwisho. Ningejua ningeishia kichwa cha habari tu Babu ili nikupe pole ...... Lakini nilikuwa natafuta Kilichopelekea uumwe!

Niliteleza kwenye ngazi nikafikia kiuno..... Hayo maumivu........Namshukuru physiotherapist wangu!!

Mjukuu ikawaje hata salamu? Loooooooh!:confused2::confused2:
 
Alianza huyu
quote_icon.png
Originally Posted by Teamo
infidelity ni sehemu ya tiba!
infact INFIDELITY NI TIBA YA KITABIBU!....

long live infidelity!
nb:nipo kwenye semina za uzinduzi wa kampeni za chadema nimeshindwa kujizuia imebidi nipost tu!tunaendelea na mchakato huku...!SLAA FOR PRESIDENCY-2010
Huyu akataka awahi
quote_icon.png
Originally Posted by The Finest
Aisee nipe na mimi location ya hospital once nikiugua na mimi nitademand nilazwe hapo kama mambo yenyewe ndiyo hayo au ndio physiotherapist available upon request
Kumbe huyu naye anataka
quote_icon.png
Originally Posted by Ngongo
Aspin tafadhali toa location ya hospital kwani baada ya kusoma andiko lako nahisi kuanza kuumwa umwa
Kisha huyu akataka awapiku wote.
quote_icon.png
Originally Posted by Msanii
Aisee kama unaona UTAMU namna hiyo. nielekeze nami nifanyeje niweze kutengua kuino halkafu nimpate huyo mtabibu mcheshi wa vitendo.

Pole sana kwa kuugua na hongera kwa kujifanya kuumwa ingawa umepona
Woooote hawa wanamtaka mtibuji wangu, wanataka kumharibia maisha yake..... Mimi nasema Sidanganyiiiiikiiiii!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big:
Umemnadi mwenyewe na watu wameshapenyeza BIDS
cha maana nitumie PM yenye namba yake maana nimekaa kwenye kiti hiki looong time nahisi kiuno kinamhtaji mtibuji wako HARAKA na kabisa
 
LOL! Sikujua nimeingia choo cha kike nikajisahau kuchuchumaa!!!:A S 100:
 
Babu nisamehe nimesoma hadi nukta ya mwisho. Ningejua ningeishia kichwa cha habari tu Babu ili nikupe pole ...... Lakini nilikuwa natafuta Kilichopelekea uumwe!
 
Mkuu pole kwa kuteleza na kuangukia kiuno ila shukuru Mungu kuwa madhara siyo makubwa maana yangekuwa makubwa ingekuwa balaa..... ila nahisi huyo Dr. yupo MOI maana ndio wanoiyo tiba
 
Back
Top Bottom