Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Aug 27, 2010.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Wapwa zangu na mabinamu,

  Juzi kati hapa kaka mkubwa nlipata dhahma lililonilazimu kutokuwa hewani hapa na kuhamishia kambi hospitali. Nipeni pole tafadhali.

  Mojawapo ya tiba nilizotakiwa kuzipata katika dhahma hii ni mazoezi ya viungo. Sasa sijui kama ni mpango wa hospitali au mipango ya Mungu kwa mimi kupewa physiotherapist yule anifanyie mazoezi na massage.

  Massage anayonifanyia dada huyu, natamani nisipone haraka. Sijui ndio mwendo wenyewe au anafanya makusudi? Manake natakiwa kusaula viwalo vyote, nalazwa kitandani, napakwa mafuta halafu mikono milaini ambayo haijawahi kusonga ugali inakuwa inaniminyaminya maeneo ya kiunoni. Napata maumivu makali lakini nikimwangalia binti huyu huyu, maumivu yanaisha ghafla. Then nageuzwa kulala chali naye anaanza kunikanda upande wa baioloji. Balaa linaanzia hapo sasa kwa sababu samtaimz anapitiliza na kugusa ile sehemu kuu ya mwanaume.

  Sasa najiuliza, huyu binti mrembo na mtanashati, kashajionea vya mama matesha kwa kiasi chake........halafu tumeshakuwa marafiki kiasi kwamba tumeshapeana namba za simu incase of emergency..... sistahili nami kumlipizia mama matesha kwa kuviangalia vya huyu binti? Manake nshapona lakini najikuta nadanganya sijapona ili niendelee na matibabu haya.....!!!

  Na ikitokea ikawa hivyo. hiyo nayo itakuwa infidelity au sehemu ya tiba?

  Ntawamiss sana maswahiba kwa wiki mbili hizi hapo kaunta......niko bize najitibia.

  Nawatakieni wikiendi njema, hatutakuwa sote kaunta.....:violin::violin::violin:
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha ha!
  sikucheki bana

  POLE SANA KIJANA!
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Ahsante ndugu yangu....Omba Mungu yasikukute yaliyonikuta!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  infidelity ni sehemu ya tiba!
  infact INFIDELITY NI TIBA YA KITABIBU!....

  long live infidelity!
  nb:nipo kwenye semina za uzinduzi wa kampeni za chadema nimeshindwa kujizuia imebidi nipost tu!tunaendelea na mchakato huku...!SLAA FOR PRESIDENCY-2010
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahahaha Asprin yaani nimejikuta naangua kicheko
  Pole sana get well soon :becky:
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Aisee nipe na mimi location ya hospital once nikiugua na mimi nitademand nilazwe hapo kama mambo yenyewe ndiyo hayo au ndio physiotherapist available upon request
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  pole kaka asprin,roho mtakatifu na akuongoze huko uliko!
   
 8. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Mdogo wangu hujatulia......Nakushauri uzingatie masharti na maadili ya mpokea huduma, usipunguze wala kuongeza!!! Nina hofu unataka kufanya wafanyayo baadhi ya wanaune wakienda baa, wanapewa huduma ya vinywaji, halafu tena wakati wa kuondoka, wanaondoka na watoa huduma kwenda nao kwenda kupata/kutoa huduma zingine!!
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Yaani unacheka halafu unanipa pole jamani?

  Ushatenguka kiuno wewe?
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha!! Omba Mungu usiugue ndugu yangu.....!:confused2::confused2::confused2:
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Aspin tafadhali toa location ya hospital kwani baada ya kusoma andiko lako nahisi kuanza kuumwa umwa
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Ahsante dada yangu Cheusi........

  Hiyo avatar yako inawezekana ikawa na uhusiano na physiotherapist wangu asee!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Nimetulia dada yangu na masharti nazingatia......ila jamani kwanini Mungu wakati mwingine anaamua kuumba kwa makusudi namna hii?:confused2::confused2:
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Aisee kama unaona UTAMU namna hiyo. nielekeze nami nifanyeje niweze kutengua kuino halkafu nimpate huyo mtabibu mcheshi wa vitendo.

  Pole sana kwa kuugua na hongera kwa kujifanya kuumwa ingawa umepona
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha! Kiongozi mi ntakuombea usiumwe bana! Kuumwa si kitu kizuri.....Hasa kiuno.:welcome::welcome:
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Pole mkurugenzi kwa hiyo asprin haikufua dafu si mchezo pole yako valuu zinakumisso
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Hahahahahah! Mi bana nawaombeeni msiugue jamani. Kutenguka kiuno si jambo jema.......:welcome::welcome:
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Mkuu wangu kama ni kiuno hapana kabisa najua hata heshima ya ndoa inabidi iende likizo.
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,047
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Ahsante kamanda.....

  Asprin haikufua dafu.... kuna mikono mingine ina nguvu kuliko asprin. mpwa tukutuku likileta za kuleta nstue. Kizuri kula na nduguyo.
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umenitamanisha ngoja na mimi weekend hii nijitegue kiuno:becky: Hepu nipm hiyo number ya physiotherapist hommie!!
   
Loading...