Ninawakosea nini hawa viumbe mimi

Ninawakosea nini hawa viumbe mimi

deki

Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
72
Reaction score
56
Habar wandugu,

Mimi ni kijana niko na 31 years naishi maisha ya kawaida sana. Najishughulisha na ujasiriamali, namshukuru Mungu kipato si haba lakini tatizo jamii inayonizunguka hawanikubali kabisa.

Na mwanzo nikiwa boni pua maisha yalikuwa safi kabisa sasa niwafanyie nini hawa viumbe ili wanikubali maana kama ni kuwasaidia nawasaidia, au ndo ile ya watu na viatu?

Ushauri tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, wewe ni mkweli sana? Yaani uko real?
Au mr misifa + muongo muongo + mjuaji mjuaji.😀😀
 
Oa na uzae halafu uipende familia yako utakayopewa na Mungu, wengine hata wazazi hawatukubali sasa utafanyeje na wao wanaona unampenda mkeo kuliko wao
 
6416E35B-DB42-4FCD-B8EE-0E91CF144D89.jpeg
 
Back
Top Bottom