Ninawachukia Hawa.....

Code:
Mdada hata hujamjua vizuri anakuomba chain ya kiunoni...Mch [COLOR=red]kuulizia bei  inafika karibu na Milioni hahahahahaha kazi kweli kweli[/COLOR],

hivi unaulizia bei ili iwe nini......................kwa nini unaulizia kama huoni anastahili kukuchuna kidogo....................ili ujenge mazingira ya wewe baadaye kumegewa...................Nionavyo wewe ndiyo mwenye matatizo kwa hiyo usilalame ya kuwa unaonewa........au unachukia kwa kuanzisha vagi la ku-groom mtoto wa watu kwa malengo ya grooming her for sexual attack................
 
Inategemea na mkaka mwenyewe kuna wengine ukiwaambia vocha imeniishia anakuambia hata mimi pia!cna hela na nimependa hchi k2 hata mimi hapa cna!nimeishiwa ya kula cna hata mimi pia cna!he unafikiri mdada atazoea kuomba?
 
Kuna wengine wamezaliwa watoaji, ukimuomba anakupa, usipomuomba bado anatoa tu, Akiwa na kitu hawezi kutumia peke yake.

Enzi Hizo nilikuwa na GF ambaye asiponiletea zawadi alikuwa hajisikii vizuri, Pamoja na kuwa alikuja kunivunja moyo lakini siwezi kumsahau namna alivyokuwa anacare. Ukimwambie asikupe zawadi anaona kuwa hujali basi tu unashindwa la kufanya.
 
Wadau!
Kama alivyosema Rev hapo awali wapiga mizinga ni very tricky and proffesional.
Last year nilifanya Birthday yangu tulikuwa watu kama nane hivi tuka enjoy vizuri tu baada ya hapo dada mmoja nilikuwa sina mazoea nae sana zaidi ya salamu siku ya birthday akaniletea zawadi ya Boxer, vest na Soksi, dah nikaanza kuchat nae, baada ya wiki 3 nikapigwa mzinga wa elfu hamsini na sababu aliyoitoa ilikuwa ni reasonable kabisa niliitoa pesa kwa shingo upande...
Kama wadau walivyosema inatupasa kula kutokana na urefu wa kamba zetu.
 
Rev


  • Initially unapotaka kufanya investment hasa kwa short term kuchunwa kwa mwanaume au kwa mdemu kuchuna kupo. Lakini kama meshajuana miezi sita bado unachunwa au unachuna mhhhhhhh

  • Alafu kuna wanaume wengine wao Gear zao mpaka wachunwe ndo wajue wanapendwa. Mschana akionekana Independent jamaa anakuwa na wasi wasi.Au demu akitaka kulipa jamaa anaona kadharauliwa. Hizi nishaziona sana . Na kuna wanawake anajua akichunwa na jamaa basi jamaa hatamkimbia. yaani ni usaniiiiiiiii
Mi nadhani ujumbe ni kuwa wote wanawake na wanume tuchunane kwa heshima na staha teh teh teh.

Mtu kama mtazamaji anachunika kwa vocha na lunch . Mambo ya suti na nikopeshe milioni mhh hiyo labda niwe na kwanza uwezo nazo na pili mipango ya muda mrefu.
 
Nina washukuru sana wachangiaji nimejifunza kitu hapa ngoja nione wengine wanaexprience ipi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom