Ninawachukia Hawa.....

Hahaaa nyamayo rafkizangu walisem unavyosema, wakaongezea nisimruhusu kuja kwangu tena na ni mnunie kabisa, ila ningumu kumfukuza mtu.
Nilidhani atajirekebisha lakini wapi, siku moja nilimwambia anisaidie kuniletea vinywaji na vitu vingine na wageni then ntamrudishia pesa yake akifika tu, basi akanunua alivofika acha anidai nikamwambia sikupi kwani inamaana wewe huezi mpa mtu kitu, au wewe hua hugusi vya wenzio, ok ntakupa lakini hutakaa uguse kitu changu.
Akasema basi bwana, na sikumpa akata mguu kabsaa hakuja muda sana, then akaanza kupita tena.


hahahaha mie huyu ningemkimbiza kabisa kabisa ...
 
Ahaaaa ahaaaa jana kuna jamaa kapigiwa simu na mdada anaambiwa "Leo birthday yangu njoo uninunulie kreti mbili za bia" jamaa nikasikia anamjibu wee chizi nini

Nina mashaka, huyu alikuwa mpenzi wake kweli? Au alitaka kumchuna tu. Maana naona sentensi kavu sana. Yaani jamaa alikuwa hajui kwamba ni birthday ya mpenzi wake, halafu sentensi aliyotumia dada haina majoto, wala unyevunyevu kavu sana broda.
 
Eti unaniachaje sasa Gaga lol ulaaniwe na mwenyez Mungu, sipendi kupiga mizinga na sipendi kupigwa mizinga ila zinazojileta nazivuta tu kiaina

Baba nanii akiona hapo penye rangi, sijui utamwambia unazivuta kupeleka wapi?
 
hahahaaa.... ukweli mtupu, siku hizi ngoja nikupe formula ambayo karibia itapitishwa na kikao chao cha bunge

Viwango vya mikuki kwa sasa
wale wa UDOM - 50,000 hadi 100,000
MUCCOBS - 15,000 hadi 50,000
ST. Augustine (Buzwagi) - 30,000 hadi laki mbili
UDSM - 100,000 hadi laki tano
MUHAS - Vitabu au laki
Walioajiriwa serikalini - laki hadi milioni :dance:
Walioajiriwa NGO - bili hadi starlet
Walio kwenye corporates - Laki 2 hadi milioni tatu
Waliojiajiri - elfu saba hadi milioni kumi

hao hapo juu ni akina dada

kwa akina kaka... bado formula inapitiwa maana wengine wanaomba kuanzia fegi hadi Prado

Makubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jamani jf, nazidi kuamini ni mahali pa kupunguzia, kama si kumalizia msongo wa mawazo. Big up wanajamii wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote, hata wale ambao hawajajiunga lakini huwa wanapitiapitia humu nawapongeza.
 
una kutana na mdada first day
siku ya pili anakwambia kodi ya nyumba nzima aliyopanga imekwisha.....

unabaki mdomo wazi....

as if tusingeonana ungelala stendi au??????????

Hapo chacha!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani kwa kweli ni aibu natamani kama wadada wote wangekuwa wamejiunga humu jf, wasome halafu waone wanavvyoshambuliwa. Masikini kadogo kangu, nitaongea nako kuhusu hili, maana huwa naongea nako kuhusu mambo ya maisha kwa ujumla yanavyoendelea. Kakija likizo hii nitakatoa kwa chakula cha usiku halafu nikaambie kasijekuthubutu kuwa tegemezi, maana huwa nakaambia elimu tu ndo kaangalie sana, hila sasa ubaya kuna watu wengine wana kila kitu na uwezo wa kifedha, lakini bado wanapenda kupiga mizinga. Nina rafiki yangu, aliniambia ukiona mwanaume anakusumbuasumbua halafu hayuko rohoni mwako, mwombe hela mara mbili tatu hata kama hauna shida nazo, labda wadada wengine pia wameshakajua haka kamtindo, maana kuna wanaume ni wasumbufu jamani we acha tu.
 
Meona eeee, maana utakuta umekaa na mtu mahala bill ikija anajifanya kama haimuhusu vile, au ooo kadi nimesahau... yaani kuna warembo wanachunwa bala, kuna dada mmoja hajaolewa na anafanya kazi kwenye bank ni boss fulani basi kila akipata bf anakuwa hajampenda yye ni pesa, hata akiamua kwenda dinner yanamkuta, mizinga kila mara, mara mkaka anataka aongezewe pesa imepungua abadili gari. hii inamsumbua sana kiasi ameona hataweza kupata mchumba wa ukweli coz kila anayekuja anakuja kwa style ya mizinga,kaamua kuacha kabisa sasa

Masikini!!!!!!!!!!! Kwa kuwa wameona anafanya kazi benki basi. Halafu ogopa mwanaume wa kupiga mizinga, ni hatari sana hawa watu. Anampiga mzinga mwanamke, halafu anaenda kutumia na msichana mwingine, hatakueshimu, hatajidai anakupenda machoni kumbe moyoni ni mnafiki tu! Anapenda hizo pesa zako. Sipendi kabisa tabia ya wanaume kuwa tegemezi. Raha ya mwanaume kujua majukumu yake bwana.
 
Rev:
Why can't you just say NO!!!!!!!!!!!!? I really dont understand how is that a grow a** woman/man anatoa pesa zake mifukoni with her/his own two hands and later on complain , and start playing the victim??So personally natoa wito kwa wale wote wanaofanywa ATM........................Pls do practice saying NO

Yaani wewe na mimi tungeendana sana....cjui ndiyo ubavu wangu? daa!!!

 
Wewe hupigi mizinga rev? unajua kuna wanawake ni proffessional yaani hujaombwa umetoa mwenyewe.. yani jinsi ukiwa nae unahisi tu kumuhudumia mwenyewe

Hili Darasa la hapa cio mchezo......sasa cc wakulima tulifika mjini...juzi juzi umesoma bush...ajira mjini madaraka makubwa....hapa macho yanafunguka...ama kweli JF mwisho!!!!!!
 
Jamani Rev. Masanilo, we ni mchungaji gani usiye na upendo kwa mabinti Sayuni?
Au na wewe mwenzetu ni wa ki David Cameroon?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom