streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 476
- Thread starter
- #21
Suluhisho ni kuacha dhambi.kuchoshwa na dhambi je
Suluhisho ni kuacha dhambi.kuchoshwa na dhambi je
wachovuWazo zuri, ila isiwe ya kisiasa, tutajiita tu "watu waliochoka"
Mi naomba uweka hazina baas
Kazi iliyobaki ni kubeti tu,
Inawezekana aseeyani hii inchi michosho tu