Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,631
- 1,926
Ahmed Msangi ni kijana muungwana na mstaarabu ninayemfahamu toka ujana tukiwa Kigurunyembe Morogoro. Napata shida na tabu kwamba anaweza shiriki ushenzi kama huo... Kama anachafuliwa inabidi afanye jitihada kubwa kujisafisha na uchafu huu!
Sio kuchafuliwa Mkuu. Kuna thread nyingi humu za watu wanaomjua sana. Ni kweli jamaa ni notorious creature.