Ninavyomjua Hemedi Msangi

Ahmed Msangi ni kijana muungwana na mstaarabu ninayemfahamu toka ujana tukiwa Kigurunyembe Morogoro. Napata shida na tabu kwamba anaweza shiriki ushenzi kama huo... Kama anachafuliwa inabidi afanye jitihada kubwa kujisafisha na uchafu huu!

Sio kuchafuliwa Mkuu. Kuna thread nyingi humu za watu wanaomjua sana. Ni kweli jamaa ni notorious creature.
 
AeCzHPD5OVrdAAAAAElFTkSuQmCC
 
Msangi karudi kwenye Picha
Na Ighondu.
Mtekaji Mwingine ambaye tulikuwa hatujamjua kumbe alihusika kumteka Ulimboka ni Mwigulu Nchemba (Rejea taarifa ya Marando kwa kesi za ugaidi).
Kilichobaki, Serikali iiachie Mwanahalisi tuendelee tulikoachia....
 
Last edited by a moderator:
Sioni tofauti ya kimatendo na kimawazo kati yenu na huyo mnayemuhukumu.yaonyesha hata nyinyi mngepata nafasi yake kwa matamshi yenu dhidi yake mngekuwa wabaya wabaya kuliko hata yeye mnayemtuhumu bila ushahidi.binafsi nashangazwa nanyi maana aliyetendwa amenyamaza kimyaaaa.na kimyaaa kina majibu mengi yakiwemo haya- watesaji wake anawajua au hawajui, au wakati wanamtesa walimwambia ukiendelea kuropoka tutakutenda tena.
 
Back
Top Bottom