Made aw kubofya
Member
- May 8, 2012
- 56
- 12
A completely heartless creature.
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
A completely heartless creature.
Umejuaje kama alihadithiwa?Ushamaliza? Hata wewe naona ulihadithiwa manaake inaonekana umesahau mambo mengi yale uliyohadithiwa.
A completely heartless creature.
Tanzania hamna watesaji, watesaji wapo Kenya bwana
Ndo Ukweli wenyewe!! Kwa uovu huo alioutenda anastahili kuchunwa ngozi!!!! Ni kiumbe kisichostahili kuishi katika jamii iliyostaarabika!!!Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Tanzania hamna watesaji, watesaji wapo Kenya bwana
Kama kumuhukumu si kwa sababu ya utekwaji na uteswaji wa Dk Ulimboka bali kwa tabia yake binafsi na tabia ya Jeshi zima la Polisi-tabia yJf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Tanzania hamna watesaji, watesaji wapo Kenya bwana
Kung'olewa meno na kucha kwa prize, kubinywa mapu*** na mb*** unasema sio utesaji?
Unangeniambia Tanzania kuna watesaji but they are not professional ningekubali.
Lakini watesaji in the sense ya kutesa wapo na mojawapo ni huyo Hemed Msangi.