Ninavyoamini mimi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Kutokana na makosa TLS waliorodhesha

"Naamini TLS watakuwa wamekusanya ushahidi wote ukiwemo ule wa picha na hata kuwahoji wafanyakazi wote wa clouds ambao ndio watakuwa mashahidi wakuu waliokuwepo siku ya tukio na mahojiano haya yatakuwa yamerokodiwa."

"Vile vile inawezekana kabisa watakuwa wamepewa clip zinazoonyesha matukio zaidi ya yale tulioyoyaona kwenye clip za awali"

Sitaki kuamini kama wata-risk kwenda Mahakamani kufungua kesi kabla ya kuwa na ushahidi wote mkononi.

TLS kama hamjafanya haya nayosema,nawashauri mtafakari upya uamuzi wenu maana watanzania huwa hatueleweki linapokuja swala fulani kwani mnaweza kugeukwa.
 
Back
Top Bottom