Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

Naona vijana wa chama cha demokrasia ya matusi (CHADEMA) wamechachamaa na kuporomosha matusi kwa mleta mada. Mnafanya kazi nzuri kueneza itikadi yenu ya matusi. Alichoandika Yericko ni kikubwa sana kwa akili zenu.
😄😄😄😄
 
Ukiona wanamshambulia ni kwa sababu information za kweli tayari wanazo na wanajua huyu mpumbavu anaandika andika tu "ujinga wake wa kichawa".
Kwa nini wasithibitishe uwongo wake kwa kuweka hizo 'information'.
Au hata wangemchapa maswali tu athibitishe ukweli wa alichokileta humu badala yake anashambuliwa yeye binafsi!
 
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.

Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.

Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).

Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.

Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.

Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.

Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.

Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.

Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.

Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.

Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074

Mkuu Yericko Nyerere, najua vyema kwamba baada ya kuishi kama mamluki kwa miaka mingi kule CHADEMA, sasa umeamua kujianika rasmi na kuwa Chawa Promax wa CCM na serikali yake. Hata hivyo, nitaziweka kando tofauti zetu doomed za kisiasa na kiitikadi, na nitajibu uzi wako huu kiweledi kabisa.
Uchambuzi wako una hoja nzito za kiuchumi na kijiografia (Geopolitics) ambazo mimi binafsi naungana na wewe kwa asilimia kubwa, lakini juga umepiga ramli na kupotosha ukweli kwa makusudi ili tu andiko lako liendane na msukumo wako wa sasa wa kusifia kila kitu. Twende sawa kwenye uchambuzi huu wa kiweledi:

1. Kwanza, hapa nakubaliana na wewe kabisa (Ukweli):
  • Mtego wa Miaka 20 (Take-or-Pay Clause): Hapa uko sahihi 100%. Kipengele hiki cha kuilazimisha Kenya kununua mafuta Lamu kwa miaka 20 bila kujali kama kuna mafuta ya bei rahisi Dubai au Urusi ni utumwa wa kiuchumi. Kinalinda faida ya mfanyabiashara na kuua soko huria.
  • Gharama za Mtaji wa Kenya vs Hisa: Hoja yako kuhusu Kenya kutoa ardhi ya umma, kujenga bomba la Turkana kwa gharama zake, na bado kutoa Ksh Bilioni 65 (huku Bilioni 21.5 zikiwa zimeshatoka kama mtaji wa awali) ili tu kuambulia hisa 10% ni ukweli mchungu. Ndio maana chama cha walaji Kenya (COFEK) kimekimbilia mahakamani kupinga unyonyaji huu wa mkataba wa PPP.
  • Mkakati wa Tanga vs Lamu: Ni kweli Tanzania na Uganda zimegomea masharti haya magumu ya Dangote yaliyolenga kuzifunga kete. Na ndio maana zimejibu mapigo haraka kwa kukabidhi mradi mbadala wa Tanga - Chongoleani kwa kampuni ya Worley Consulting na kuingia ubia wa kimkakati na Vitoll Bahrain ili kuifanya Tanga kuwa kitovu kikuu cha kuhifadhi na kusambaza nishati, na hivyo kulinda uhuru wetu wa kikanda bila kuburuzwa na masharti ya Lamu.

2. Lakini hapa umepotosha na unapaswa kuumbuka (Upotoshaji):
  • Uongo wa Sababu ya Bei Kupanda Nigeria: Yericko, hapa umezungumza nusu ukweli ambao ni uongo. Unasema kiwanda cha Dangote Lagos ndicho kilichopandisha bei ya mafuta kutoka N898 hadi N1,450. Huu ni upotoshaji mkubwa wa kiuchumi. Kupanda kwa bei Nigeria kulitokana na uamuzi wa kisiasa wa Rais Bola Tinubu wa kuondoa ruzuku ya mafuta (Fuel Subsidy) na kuacha sarafu ya Naira ielee kwenye soko huru. Bei ilipaa nchi nzima kabla hata kiwanda cha Dangote hakijaanza kuuza mafuta yake sokoni. Kiwanda hakisababishi bei kupanda, bali kinauza kwa kufuata bei ya soko la dunia.
  • Kulilia Faida ya Mfanyabiashara: Unapomlaumu Dangote kutengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi sita unajisahaulisha kuwa yeye si taasisi ya misaada. Amewekeza mabilioni ya dola, lazima afanye biashara ili arudishe mtaji na mikopo ya mabenki ya kimataifa yaliyomfadhili.

Hitimisho langu kwako:
Inasikitisha kuona jinsi mwandishi uliyekuwa unajipambanua kama mtetezi wa fikra huru, leo hii umeamua kuuza utu na kalamu yako kwa vipande 30 vya fedha ili uweze kuwa mpiga debe na Chawa Promax wa utawala wa sasa. Umeshuka hadhi kutoka mchambuzi wa kiakili hadi kuwa sarakasi ya kisiasa inayoruka popote penye maslahi binafsi. Kwenye andiko hili umejitahidi kuweka ushabiki pembeni na kuona mtego uliopo Lamu. Ni uchambuzi mzuri, ila ukiacha tabia ya kupotosha takwimu ili kuhalalisha propaganda zako, utajinusuru na huu mporomoko wa kiwango cha uaminifu unaokukabili sasa hivi.

Mwisho kabisa, nina swali moja la kizazi sana kwenu: Kwanini ninyi Wahehe wa Kalenga mnalipenda hivi jina la Nyerere? Inashangaza kuona wewe ni chawa na ndugu yako Steve Nyerere naye akigeuka kuwa chawa mwingine wa kiwango cha juu; kulikoni koo yenu? Cha kusikitisha zaidi ni kwamba wenye jina lao halisi la kiukoo na kifamilia pale Butiama hatujawahi kuona hata mmoja aliyeshuka hadhi na kuwa chawa wa kujipendekeza namna hii, labda ukiacha mtoto wa binamu yake Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku, ambaye naye inaonekana amekuja kugeuka kuwa chawa ukubwani. Jifunzeni kulinda heshima ya majina mnavyojipachika!
 
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.

Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.

Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).

Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.

Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.

Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.

Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.

Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.

Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.

Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.

Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074
Jasusi kama jasusi nikionaga chapisho lako NAMKUMBUKA Dr lwaitama
 
Wewe ni takataka unatumia akili ya kikatuga kuwaza. Mkataba huujui unashadadia. Kabla ya DP world kuja na sasa gharama zikoje bandarini?
 
Nilijua tu minyumbu lazima imtukane mleta mada kwasababu Uzi wake umeangazia athari za hiko kiwanda badala ya matusi au kumponda Samia 🤣🤣🤣

Wanadekrasia haooooo wanataka nchi waiendeshe kidemokrasia.
Wewe akili huna.
Unajua chanzo cha bei ya mafuta kuanda Nigeria? Unajua kama siyo Dangote hiyo bei ingekuwaje wakati huu na ingepanda mara ngapi?
Mradi wa mafuta Kenya Rutto alimpiga mama yenu bao la kisigino na alikuwa hajui kinachoendelea.
 
Kwahiyo na wewe unaamini kuwa nchi wanachama wa EA tutalazimishwa kununua mafuta hapo?
 
Mwambie Henje amwambie Abdul next mkeka wakutupe hata Namtumbo DAS maana unapambana sana.
 
Wewe akili huna.
Unajua chanzo cha bei ya mafuta kuanda Nigeria? Unajua kama siyo Dangote hiyo bei ingekuwaje wakati huu na ingepanda mara ngapi?
Mradi wa mafuta Kenya Rutto alimpiga mama yenu bao la kisigino na alikuwa hajui kinachoendelea.
Sawa, mlikuwa mnajua chadema tu kinachoendelea 🤣🤣
 
Acha ujinga
Hio ilikua fursa kwa tz

Magari ya umeme yanakuja, hii miradi ya mafuta ni useless, chemical industries hazihitaji multibillion investment kama hii,na commitment ya kuwa mteja wa refinery for life ni hasara tupu
mkuu magari ya umeme yalijaa 19s huko marekani hadu ford alivyogundua ya mafuta watu wakaachana naya umeme kwa wakati ule kama hufahamu
Uwezo wako wa kupambanua hoja ni wa zile siasa za maji machafu na kuchukua story za mtandaoni kisha kusema unaandika vitabu.

Unamzuiaje tajiri kwa mfano? Akijenga refinery, anajua atapata wapi malighafi. Kama Uganda itakataa, hata South Sudan wana mafuta, as we speak....

Tunakwama wapi kujiongeza na kujua we are not in control of everything in the world? Kuna games lazima upambane kuwa mkubwa ili uweze kucheza...

Tuendelee na tunayoyaweza....ya siasa zetu za kijingajinga
sudani wana mafuta toka kitambo

Hilo jinga mkuu! 😊

Pumbavu kabisa

Jasusi uchwara ktk 1 na 2.

Sijui umeandika nini ila jinga kubwa wewe

Propaganda za kiuchumi katika zama hizi haziwezi kudanya kazi, pia hauwezi waambia uongo watu wote wakakubari

Zezeta la Lumumba , kwamba wewe una akili kuliko wakenya .

Halafu huo mkataba wa Kenya umeuona wapi , uweke hapa tuuone.

Weka hapa mkataba wa Kenya na huo wa Tanzania tuuchambue usifikiri hapa uko kikao cha matapeli mnaojiita CHAUMMA kumbe ni CCM.

Tapeli mkubwa wewe.

Limke la Mbowe hili. Kafie mbali huko lisaliti likubwa wewe! 🚮🚮🚮

View attachment 3682125

Sijasoma ila najua huyu Chawa kaandika utumbo mtupu, nipe like kama nimepatia..

Mpumbavu wewe mjinga . Gharama ya mafuta Naija ilipanda baada ya Tinubu kuondoa subsidies kwenye mafuta . Dangote amesaidia pakubwa kutuliza thamani ya fedha ya Naija.

Wewe ni mweupe kabisa kichwani. Mjinga sana wewe jamaaa kumbe. F_ck you.

Upotoshaji wa wazi wazi. Bei ya mafuta Nigeria ilipanda baada ya serikali kuondoa ruzuku kwenye mafuta na si sababu ya kiwanda cha Dangote. Pia hakuna sharti la kupata mafuta kutoka Turkana. Kiufupi umepotosha kwa quality ya chini sana.

Chawa wa Sultan Mbowe katika 1 & 2 zako.

Umekosa ukuu wa Wilaya umekimbilia huku kuleta uongo. Kafanya utafiti ni kwanini mafuta yalipanda bei Nigeria. Halafu wewe ulikuwa CHADEMA juzi, usijifanye mwana CCM kuliko ulio wakuta.

Mleta uzi,unawachukulia watu wote kama upo bustanini/kinyunguni kwako unapogolea bamia,sivyo?

Ni vile TU ukiwa mjinga na mpumbavu basi na watu wote unawaona ni wajinga kama wewe.

We jamaa, kumbuka kwamba una Upumbavu Fulani hivi kichwani kwamba wewe una akili kuliko wenzako! Kashauri mkeo Kaka!

AHAAAA AAHAA AHAAH AAAH. DALALI WA SIASA KATIKA UBORA WAKE. VIPI SULTANI WENU MBOWE HAJAMBO?

Yericko Nyerere you are contradictory!
Kwa sasa tunakosa serikali makini ya kufanya negotiations kwa maslahi ya WaTanganyika!
Badala yake kina Kikwete, Abduli & Co wapo busy kufanya collabo na matapeli kama Chivayo na Waarabu kwa maslahi ya wachache!

Gharama za maisha zimepanda hata Bwawa la Mwl Nyerere walisema mradi ukikamilika unit za umeme zitashuka leo hii unit ndo kwanza zimepanda kuliko tulivyoaminishwa.
Hata huko Asia mafuta yanapopatikana mafuta hayajawi kushuka huwa yanapanda kutoka na gharama za uendeshaji kupanda, achilia mbali na vita.
Tunataka kuangalia faida inayopatikana kwa sasa (Nigeria leo hawaagizi tena mafuta kwa wingi kutoka nje kama zamani ) laiti wangekua wanaagiza kwa wingi leo hii mafuta yangekua ghali zaidi.

Ulichoandika ni wivu.
Maana turudi hapa Tz tuna gesi bei yake ipoje ?
Tuna viwanda vya siment bei yake ikoje ?
Hata hilo bomba la Uganda na Tz linalotarajiwa kujengwa mkataba wake pia ni huo huo wa kinyonyaji wala hautaleta unafuu wowote.

Yericko Nyerere wewe ni takataka huna unachokijua kwanza tuwekee CV yako hapa kuhusu elimu yako kama sio zile Elimu za hapa na pale tangia umewekwa kwenye vile vibanda vya njiwa mahakamani kwenye kesi ya Lissu nilikudharau sana

Tumsimpe umuhimu asiokuwa nao huyo kibaka

Siku hizi nikiona andiko la huyu jamaa naona kama anataka kututapeli hata angeandika je!

Wale wa nchi ya mizimu hawataki kusikia hii fusra cuz hawataki wananchi wanufaike bila wao kunufaika pakubwa 😔

Nchi gani mafuta hayajapanda bei? Leo ukilinganisha na 2023? Commodity markets ni volatile sielewi hii hoja umeiweka hapa as if iko driven na variable moja tu ya Dangote refinery na sio price shocks sababu ya vita, supply chain bottlenecks, uncertainty n.k

Baki kuchambua ujasusi wako uchwara mambo ya uchumi achana nayo

Kichwa kinachotumika kufikiri ni hiki hiki?

Wewe ni takataka unatumia akili ya kikatuga kuwaza. Mkataba huujui unashadadia. Kabla ya DP world kuja na sasa gharama zikoje bandarini?

Haya ile DP WORLD uñiluwa unaipigia promo imefika wapi

Kwahiyo na wewe unaamini kuwa nchi wanachama wa EA tutalazimishwa kununua mafuta hapo?

HUYU JAMAA Nilikuwa namuheshimu ila sasa.
1.Najutia kununuaga kitabu chake ni miaka mwingi nilinuiaga kabisa nikakuta jamaa ame copy tena mara nyingi huku huku na kuna watu walitaka wampeleke mahakaman MELO akawapunguza hasira na walikataa hela yake yakluwa puuza

2.Namtangaza kuwa kwa wakati huu nakutangaza yericko sijui nani KAMA TAHIRA NAMBA MOJA TRANZANIA MWEHU,KICHAA,GOI GOI ISEMBO ETC yani mkataba ni kenya alafu Tanzania tulazimishwe kununua mafuta?????????

3.Akili yako kama sio kizibo ni umeelemewa na pombe ama madawa au una mgogoro na maisha yako nafsi etc
 
mkuu magari ya umeme yalijaa 19s huko marekani hadu ford alivyogundua ya mafuta watu wakaachana naya umeme kwa wakati ule kama hufahamu

sudani wana mafuta toka kitambo

HUYU JAMAA Nilikuwa namuheshimu ila sasa.
1.Najutia kununuaga kitabu chake ni miaka mwingi nilinuiaga kabisa nikakuta jamaa ame copy tena mara nyingi huku huku na kuna watu walitaka wampeleke mahakaman MELO akawapunguza hasira na walikataa hela yake yakluwa puuza

2.Namtangaza kuwa kwa wakati huu nakutangaza yericko sijui nani KAMA TAHIRA NAMBA MOJA TRANZANIA MWEHU,KICHAA,GOI GOI ISEMBO ETC yani mkataba ni kenya alafu Tanzania tulazimishwe kununua mafuta?????????

3.Akili yako kama sio kizibo ni umeelemewa na pombe ama madawa au una mgogoro na maisha yako nafsi etc

Wizi mtupu kufuatilia hawa wababaishaji. Hana lolote la maana analoleta.
 
Huyu jamaa alimtongoza binti kwa kumualika ugali nyama choma. Tangu siku hiyo namuona chenga sana
 
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.

Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.

Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).

Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.

Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.

Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.

Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.

Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.

Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.

Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.

Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074
Kwanza nimemsikia Dangote alisema kiwanda kitalisha mahitaji ya Mafuta ya USA badala ya hapa EAC.

Pia ukiacha Ajira Wakunya watafaidika na Kodi na pia Mafuta Yao ghafi yatapata soko
 
Back
Top Bottom